shukran wadau wote mnaotoka ughaibuni na kufunga ndoa hapa na kunipa heshima ya kukupigieni picha zenu za siku hiyo kuu katika maisha ya mwanadamu. asante jimmy na mai waifu wako na wadau waliokuja kukupa taff

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi duh! Kweli tumesubiri sana hii picha. Asante though! Sasa huyo sio Jimmy bwana huyo si Francis(Patano)na Mai wai wake Jaqueline!! Kweli Michuzi kaka unachemsha sasa!!

    ReplyDelete
  2. Michuzi umechemka jina la huyo jamaa ni Francis Patano Sakaya na sio Jimmy.

    ReplyDelete
  3. wamependeza wenyewe, kila la heri!

    ReplyDelete
  4. Jamani msimlaumu sana kaka Michuzi alikuwa na wateja wengi siku hiyo na mmoja wapo ni Jimmy na huyo Frank Sakaya. Maharusi wamependeza sana sana. Hongereni

    ReplyDelete
  5. Hongera bwana na bibi harusi.It's about time!!!!!!michuzi hao wasimamizi wote wanne wameoa?an innocent question jamani.

    ReplyDelete
  6. aaahhh Sakaya! Hongera mzee. Naona uko na mzee mzima David Koroso hapo na Mkongwe Alan, yale mambo yetu yaleee ya IFM Block D 516 uache sasa. Karibu kwenye CLUB Ya KULALA UCHI. - O'C

    ReplyDelete
  7. Jimmy ni mdogo wa bibi harusi na mai wife wake Nora hiza. mnajuaje Michu labda Jimmy ndo alompa tenda ati!! Hongera Jack

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Jackie. salama toka block 41

    ReplyDelete
  9. Sasa Bro Patano hivi ni kwa nini bibiye Jack amekubali kupiga picha nanyi wasaidizi wake wako wapi? Ukaruhusu wasaidizi wako 2. lakini siyo mchezo timu ilitimia na mlipendeza kwa sana. Mungu aibariki ndoa yenu.

    ReplyDelete
  10. Duuuuuhhhhh! njomba huyo wa pili kulia sio Denis huyo yaani Denis tulizani ulienda bongo kuoa kumbe umeenda kusimamia harusi.Ulikataliwa mahari nini? anyway bibi harusi kiboko,kapendeza sana.

    ReplyDelete
  11. Mjitahidi kula balanced diet na kufanya mazoezi mtanenepa sana msipokua makini.Unene sio sifa ama ishara ya kua na hela kama wa tz wengi wanavyozani ila ni mwanzo wa magonjwa yenye gharama kubwa kutibika! Kila la kheri

    ReplyDelete
  12. Nakuona hapo mwanzo kabisa kushoto David Korroso branch manager Akiba Commercial bank .... hongera umetoka bomba.... nasikia mzee mambo yametulia ile mbaya....... poa endelea kukaza buti mzee....

    ReplyDelete
  13. Mnaona mambo ya wazee wa box!!!!!!!!! sio kukandia tuuuuuuu.

    ReplyDelete
  14. Hongera jacky,from fidellah block 41.

    ReplyDelete
  15. Aaaaah jamani hongera m/mungu aibariki ndoa yao waishi maisha wakipendanaaaaaaaaaaa........ hehehe stalker nakuunga mkono, je wameowa hao wasimamizi jamani?

    Michuzi ntakutafuta uje piga picha harusi yangu nikipata mume...hahaha duh Hongera sana kwa kila anae ouwa na kuolewa kwani kharusi ni jambo la kheri.

    ReplyDelete
  16. P Y T hata mimi natafuta mke sasa kama uko tayari i'm ready,holla then tutacheck kama kuna kuelewana ili kieleweke,ila nipo huku kwa wabeba box USA.kama uko karibu holla then tutatuma picha yetu ya harusi hapa mambo ykienda poa,yaani i'm loving you kabla hata sijakuona...toa email basi

    ReplyDelete
  17. Mwapendeza mnooooooooooooo MR& Mrs Francis Sakaya(Junior)!!! Hongereni sana! sana! Mungu awabariki muishi maisha marefu na yenye kujaa mapenzi tele!!!!

    ReplyDelete
  18. Hongereni! Sakaya kila la kheri.Naona uko na koroso, nimeona komenti za OC..Mzaei watoto kibao.!
    Biggie..Nilikuwa na JT mwisho wa mwaka jana..

    ReplyDelete
  19. Bwana MICHUZI tunaomba picha zaidi ya hii arusi maana ilipendeza sana. David, Mkundwe, Denis, Alan na Maarusi Mmependeza sana.

    ReplyDelete
  20. Hii arusi ilikuwa ya mwaka Dar. mlipendeza sana pale movinpick. tunaomba picha za pamoja wasimamizi wa kike na maarusi maana walitia fora.

    ReplyDelete
  21. Jamani huyo mrs Sakaya ni DR jacquline aka Jacquline mbwille. Huyo mtu aliosema mambo ya box we beba tuu lakini hao wenzako ni matawi ya juu sana. soma na wewe then ukafunge ndoa bongo kama unaweza or my bad wewe ni mzee wa oneway ushaharibu kwa watu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...