Home
Unlabelled
shukran
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi duh! Kweli tumesubiri sana hii picha. Asante though! Sasa huyo sio Jimmy bwana huyo si Francis(Patano)na Mai wai wake Jaqueline!! Kweli Michuzi kaka unachemsha sasa!!
ReplyDeleteMichuzi umechemka jina la huyo jamaa ni Francis Patano Sakaya na sio Jimmy.
ReplyDeletewamependeza wenyewe, kila la heri!
ReplyDeleteJamani msimlaumu sana kaka Michuzi alikuwa na wateja wengi siku hiyo na mmoja wapo ni Jimmy na huyo Frank Sakaya. Maharusi wamependeza sana sana. Hongereni
ReplyDeleteHongera bwana na bibi harusi.It's about time!!!!!!michuzi hao wasimamizi wote wanne wameoa?an innocent question jamani.
ReplyDeleteaaahhh Sakaya! Hongera mzee. Naona uko na mzee mzima David Koroso hapo na Mkongwe Alan, yale mambo yetu yaleee ya IFM Block D 516 uache sasa. Karibu kwenye CLUB Ya KULALA UCHI. - O'C
ReplyDeleteJimmy ni mdogo wa bibi harusi na mai wife wake Nora hiza. mnajuaje Michu labda Jimmy ndo alompa tenda ati!! Hongera Jack
ReplyDeleteHongera sana Jackie. salama toka block 41
ReplyDeleteSasa Bro Patano hivi ni kwa nini bibiye Jack amekubali kupiga picha nanyi wasaidizi wake wako wapi? Ukaruhusu wasaidizi wako 2. lakini siyo mchezo timu ilitimia na mlipendeza kwa sana. Mungu aibariki ndoa yenu.
ReplyDeleteDuuuuuhhhhh! njomba huyo wa pili kulia sio Denis huyo yaani Denis tulizani ulienda bongo kuoa kumbe umeenda kusimamia harusi.Ulikataliwa mahari nini? anyway bibi harusi kiboko,kapendeza sana.
ReplyDeleteMjitahidi kula balanced diet na kufanya mazoezi mtanenepa sana msipokua makini.Unene sio sifa ama ishara ya kua na hela kama wa tz wengi wanavyozani ila ni mwanzo wa magonjwa yenye gharama kubwa kutibika! Kila la kheri
ReplyDeleteNakuona hapo mwanzo kabisa kushoto David Korroso branch manager Akiba Commercial bank .... hongera umetoka bomba.... nasikia mzee mambo yametulia ile mbaya....... poa endelea kukaza buti mzee....
ReplyDeleteMnaona mambo ya wazee wa box!!!!!!!!! sio kukandia tuuuuuuu.
ReplyDeleteHongera jacky,from fidellah block 41.
ReplyDeleteAaaaah jamani hongera m/mungu aibariki ndoa yao waishi maisha wakipendanaaaaaaaaaaa........ hehehe stalker nakuunga mkono, je wameowa hao wasimamizi jamani?
ReplyDeleteMichuzi ntakutafuta uje piga picha harusi yangu nikipata mume...hahaha duh Hongera sana kwa kila anae ouwa na kuolewa kwani kharusi ni jambo la kheri.
P Y T hata mimi natafuta mke sasa kama uko tayari i'm ready,holla then tutacheck kama kuna kuelewana ili kieleweke,ila nipo huku kwa wabeba box USA.kama uko karibu holla then tutatuma picha yetu ya harusi hapa mambo ykienda poa,yaani i'm loving you kabla hata sijakuona...toa email basi
ReplyDeleteMwapendeza mnooooooooooooo MR& Mrs Francis Sakaya(Junior)!!! Hongereni sana! sana! Mungu awabariki muishi maisha marefu na yenye kujaa mapenzi tele!!!!
ReplyDeleteHongereni! Sakaya kila la kheri.Naona uko na koroso, nimeona komenti za OC..Mzaei watoto kibao.!
ReplyDeleteBiggie..Nilikuwa na JT mwisho wa mwaka jana..
Bwana MICHUZI tunaomba picha zaidi ya hii arusi maana ilipendeza sana. David, Mkundwe, Denis, Alan na Maarusi Mmependeza sana.
ReplyDeleteHii arusi ilikuwa ya mwaka Dar. mlipendeza sana pale movinpick. tunaomba picha za pamoja wasimamizi wa kike na maarusi maana walitia fora.
ReplyDeleteJamani huyo mrs Sakaya ni DR jacquline aka Jacquline mbwille. Huyo mtu aliosema mambo ya box we beba tuu lakini hao wenzako ni matawi ya juu sana. soma na wewe then ukafunge ndoa bongo kama unaweza or my bad wewe ni mzee wa oneway ushaharibu kwa watu.
ReplyDelete