mdau wa rombo mkuu leo katuletea mtundiko huu akisema kwamba katika kutekeleza azma ya serikali shule za msingi na sekondari zimetapakaa kila sehemu nchini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni! Kwani WAJAPANI JE, Mbona hamwashangai.

    Booni maana yake ni nyumbani.

    1. Kuna ukoo wanaume wanaitwa Mboro na Wanawake ni Mamboro.Na wanafurahia jina lao ile mbaya.

    2. Ukisema Kinu kwetu tusi jamani!!

    3. Mtoto analia - mwanaafira

    4. Kuna ukanda fulani huku kilimanjaro habari za asubuhi kwa mtoto wa kwanza wa kike au wa kiume unamwambia - Nantombe.

    Naomba wanablog msishangae sana hii ni Tanzania ya makabila zaidi ya 142 sasa hapo ukipekua pekua hizo kabila, utafanya wengine wakane koo zao na lugha zao.

    ReplyDelete
  2. naam.Naona hata bango la kushoto linaishia na ...eni,nadha ni ukeni sekondari au vipi washikadau?

    ReplyDelete
  3. Duh! huyo mdau aliyeleta hilo bango kanikumbusha mbali kweli. nilivyokuwa high school kuna msichana alikuja na sweta lilioandikwa "BOO" kwa nyuma. alishambuliwa kwa maneno vibaya sana na wasichana wengine kwenye dormitory hadi ikabidi huyo msichana aache kulivaa sweta lake.

    ReplyDelete
  4. HATUPO JAPAN WALA CONGO TUPO TANZANIA HATA KUWE KUNA LUGHA 250 LUGHA YA TAIFA NI KISWAHILI MAJINA YOOOOOOOTE WAMEKOSA WAKAONA HILO NDIO LINAFAA TENA KWA MSISITIZO BOONI MAANA KAJAALIWA.

    ReplyDelete
  5. Kwa kweli nimecheka sana, na comments zimenifanya nicheke zaidi. Nafikiri wizara ya elimu inabidi iingilie kati ili majina yawe ya kiswahili au Kiingereza chenye maana. Tuache viluga kwani ni balaa. Ndio maana hata namba za magari waliruka T XXX BOO japo juzi nimeona T XXX TIA

    ReplyDelete
  6. Wadau wenzangu, wala msimkabe koo aliyeleta hio picha ya bango! Sio wote tunapenda kutumia majina ya Kiswahili katika maeneo yetu, ndio maana tunakuwa na tofauti ya majina. Huko huko Kilimanjaro, ukienda kule Machame kuna eneo linaitwa "Kwa Mkunamboo", Zenji kuna "Mchambawima", sasa cha ajabu ni nini hapo Booni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...