Home
Unlabelled
shule ya booni rombo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni! Kwani WAJAPANI JE, Mbona hamwashangai.
ReplyDeleteBooni maana yake ni nyumbani.
1. Kuna ukoo wanaume wanaitwa Mboro na Wanawake ni Mamboro.Na wanafurahia jina lao ile mbaya.
2. Ukisema Kinu kwetu tusi jamani!!
3. Mtoto analia - mwanaafira
4. Kuna ukanda fulani huku kilimanjaro habari za asubuhi kwa mtoto wa kwanza wa kike au wa kiume unamwambia - Nantombe.
Naomba wanablog msishangae sana hii ni Tanzania ya makabila zaidi ya 142 sasa hapo ukipekua pekua hizo kabila, utafanya wengine wakane koo zao na lugha zao.
naam.Naona hata bango la kushoto linaishia na ...eni,nadha ni ukeni sekondari au vipi washikadau?
ReplyDeleteDuh! huyo mdau aliyeleta hilo bango kanikumbusha mbali kweli. nilivyokuwa high school kuna msichana alikuja na sweta lilioandikwa "BOO" kwa nyuma. alishambuliwa kwa maneno vibaya sana na wasichana wengine kwenye dormitory hadi ikabidi huyo msichana aache kulivaa sweta lake.
ReplyDeleteHATUPO JAPAN WALA CONGO TUPO TANZANIA HATA KUWE KUNA LUGHA 250 LUGHA YA TAIFA NI KISWAHILI MAJINA YOOOOOOOTE WAMEKOSA WAKAONA HILO NDIO LINAFAA TENA KWA MSISITIZO BOONI MAANA KAJAALIWA.
ReplyDeleteKwa kweli nimecheka sana, na comments zimenifanya nicheke zaidi. Nafikiri wizara ya elimu inabidi iingilie kati ili majina yawe ya kiswahili au Kiingereza chenye maana. Tuache viluga kwani ni balaa. Ndio maana hata namba za magari waliruka T XXX BOO japo juzi nimeona T XXX TIA
ReplyDeleteWadau wenzangu, wala msimkabe koo aliyeleta hio picha ya bango! Sio wote tunapenda kutumia majina ya Kiswahili katika maeneo yetu, ndio maana tunakuwa na tofauti ya majina. Huko huko Kilimanjaro, ukienda kule Machame kuna eneo linaitwa "Kwa Mkunamboo", Zenji kuna "Mchambawima", sasa cha ajabu ni nini hapo Booni?
ReplyDelete