NAONA MALUMBANO YA NANI ATAKUWA MDAU WA MILIONI 3 NA KUJINYAKULIWA DOLA 500 YAMEANZA KIASI HATA DHANA YA KUTAKA KUPANGA MATOKEO IMEANZA KUJITOKEZA.

KWA WADAU WAGENI NI KWAMBA MCHEZO WENYEWE NI SIMPO KABISA NA HAUTATOFAUTIANA NA WA WAKATI ULE TULIPOPATA MDAU WA MILIONI MOJA NA MDAU WA MILIONI 2 AMBAPO HAPAKUWA NA ULALAMISHI.

PICHAA INAONESHA MDAU WA MILIONI 2 ALIVYOJITOKEZA NA KUTHIBITISHA KWAMBA NI YEYE KWA KUTUMA HIYO PICHA AMBAPO HAKUNA ALIYEWEZA KUFANYA. NA ILI KUONDOA DHANA YA UFISADI KATIKA HILI NI LAZIMA PIA UANDIKE EMAIL ILI MUDA MDAU KUWA WA MILIONI 3 UTHIBITISHE MADAI HAYO. BOFYA HAPA UONE MATOKEO YALIVYOTANGAZWA NA MSHINDI KUPATIKANA NA KUZAWADIWA. VILE VILE BOFYA HAPA UONE MCHEZO UNAVYOCHEZWAGWA

MASWAAAAALI?















bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Sawa umeeleweka Mr Michuzi. Mimi nadhani ndiye mdau wa milioni tatu nasubiria changu.

    ReplyDelete
  2. Ndugu Michuzi,

    Mimi ni mmoja wa wadau hapa ninayeishi Japan na hupenda kutazama blog yako. Pia napenda sana kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yangu. Mara nyingi nasoma hapa kuwa watu unawabania maoni yao. Sijui kama wanatusi na wewe kama mwenye hii blogu una haki yote ya kuamua kuchapisha au kutochapisha.

    La msingi, naomba utueleze sababu kubwa ya kumbania mtu maoni yake. Nitaelewa kama mtoa maoni anawakashifu watu au anatukana, lakini kama hii ni blogu ya umma kama unavyoitangaza, basi haifai katika kuendeleza utamaduni wa demokrasia kubana maoni ya watu kwa kuwa hujapendezewa na hayo maoni.

    Kama sababu zako zitaeleweka, basi itakuwa vizuri kwa sisi unayetubania maoni kwa kuwa hatutapoteza muda wetu kuandika maoni, na tutaendelea kufurahia kuangalia picha zako.

    Ahsante kwa muda wako. Nakutakia kheri na familia yako huko nyumbani.

    Max , Tokyo. Japan.

    ReplyDelete
  3. sasa sio ikifikia wakat wa kukaribia huyo jamaa wa mil 3 uanze kubaunsisha network yako,

    ReplyDelete
  4. Ngoja kwanza tusome hapo pa kubofya. Kama kuna swali tutauliza tena. Maana kuna kila dalili za mchezo mchafu hapa uliozidi ufisadi!

    ReplyDelete
  5. valentineannosy@yahoo.com

    ReplyDelete
  6. Naomba kujua jinsi ya kushiriki tafadhali

    ReplyDelete
  7. MICHU, KAMA WEWE NI MKWELI NA HUTAKI LAWAMA BASI KIHESABU NAMBA (KAUNTA) KIONEKANE WAZIWAZI CHINI KULIA NA PIA KUANZIA SASA ONDOA CONTROL YA KUSOMA KWANZA MAONI YA WATU NDIPO UNAYARUHUSU. YAANI MTU AKIANDIKA NA KUBOFYA RETURN KEY MAONI YAKE YAJIRUSHE MARA MOJA NA AONE NAMBA MWENYEWE SASA HIYO HIYO.

    VINGINEVYO UNATAFUTA TUANZISHE TUME YA KUCHUNGUZA UFISADI NDANI YA UONGOZI WA BLOGU BAADA YA KUWA TUMEKUNYANG'ANYA VISA YA KWENDA NA KUKIMBILIA UG! KWIKWI!!.

    (well hayo ya mwishoni ni utani lakini ya mwanzoni naomba jibu lake)

    Nyakatakule

    ReplyDelete
  8. Mzee wa Royco Mbona nashindwa kuelewa hii counting inaendaje maana nikilog off nikiiingia tena namba inaenda juu hii imekaaje nilifikiri inahesabu computer na sio Number of login.
    Naomba ufafanuzi hii imekaaje mzee roycomichuzimix mix unatumix.

    ReplyDelete
  9. Michuzi na mie naitaka hiyo dola 500 nimnunulie tv mama yangu.cherryade_19@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  10. Habari ndugu yangu michuzi, mm ni George naishi hapa Philadelphia USA ni mwanafunzi wa Udaktari, sasa kikubwa aisee nadhani mm ndiye yule anayetafutwa kuwa mdau wa milioni 3, sasa nitafurahi sana kama hiyo hela utaituma mapema maana nataka kununua vitabu vya shule.
    george S. M
    7022 terminal sq
    Philadelphia PA 19082
    USA
    grmavura@yahoo.com
    484-453-8476.

    ReplyDelete
  11. na mie pia nataka $$$$$$$$$
    mambopoa10@hotmail.com

    ReplyDelete
  12. Something fishy is being cooked here.........! Let us wait and see

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...