NAONA MALUMBANO YA NANI ATAKUWA MDAU WA MILIONI 3 NA KUJINYAKULIWA DOLA 500 YAMEANZA KIASI HATA DHANA YA KUTAKA KUPANGA MATOKEO IMEANZA KUJITOKEZA. KWA WADAU WAGENI NI KWAMBA MCHEZO WENYEWE NI SIMPO KABISA NA HAUTATOFAUTIANA NA WA WAKATI ULE TULIPOPATA MDAU WA MILIONI MOJA NA MDAU WA MILIONI 2 AMBAPO HAPAKUWA NA ULALAMISHI.
PICHAA INAONESHA MDAU WA MILIONI 2 ALIVYOJITOKEZA NA KUTHIBITISHA KWAMBA NI YEYE KWA KUTUMA HIYO PICHA AMBAPO HAKUNA ALIYEWEZA KUFANYA. NA ILI KUONDOA DHANA YA UFISADI KATIKA HILI NI LAZIMA PIA UANDIKE EMAIL ILI MUDA MDAU KUWA WA MILIONI 3 UTHIBITISHE MADAI HAYO. BOFYA HAPA UONE MATOKEO YALIVYOTANGAZWA NA MSHINDI KUPATIKANA NA KUZAWADIWA. VILE VILE BOFYA HAPA UONE MCHEZO UNAVYOCHEZWAGWA
MASWAAAAALI?
bofya hapa


Sawa umeeleweka Mr Michuzi. Mimi nadhani ndiye mdau wa milioni tatu nasubiria changu.
ReplyDeleteNdugu Michuzi,
ReplyDeleteMimi ni mmoja wa wadau hapa ninayeishi Japan na hupenda kutazama blog yako. Pia napenda sana kusoma maoni ya watu na kutoa maoni yangu. Mara nyingi nasoma hapa kuwa watu unawabania maoni yao. Sijui kama wanatusi na wewe kama mwenye hii blogu una haki yote ya kuamua kuchapisha au kutochapisha.
La msingi, naomba utueleze sababu kubwa ya kumbania mtu maoni yake. Nitaelewa kama mtoa maoni anawakashifu watu au anatukana, lakini kama hii ni blogu ya umma kama unavyoitangaza, basi haifai katika kuendeleza utamaduni wa demokrasia kubana maoni ya watu kwa kuwa hujapendezewa na hayo maoni.
Kama sababu zako zitaeleweka, basi itakuwa vizuri kwa sisi unayetubania maoni kwa kuwa hatutapoteza muda wetu kuandika maoni, na tutaendelea kufurahia kuangalia picha zako.
Ahsante kwa muda wako. Nakutakia kheri na familia yako huko nyumbani.
Max , Tokyo. Japan.
sasa sio ikifikia wakat wa kukaribia huyo jamaa wa mil 3 uanze kubaunsisha network yako,
ReplyDeleteNgoja kwanza tusome hapo pa kubofya. Kama kuna swali tutauliza tena. Maana kuna kila dalili za mchezo mchafu hapa uliozidi ufisadi!
ReplyDeletevalentineannosy@yahoo.com
ReplyDeleteNaomba kujua jinsi ya kushiriki tafadhali
ReplyDeleteMICHU, KAMA WEWE NI MKWELI NA HUTAKI LAWAMA BASI KIHESABU NAMBA (KAUNTA) KIONEKANE WAZIWAZI CHINI KULIA NA PIA KUANZIA SASA ONDOA CONTROL YA KUSOMA KWANZA MAONI YA WATU NDIPO UNAYARUHUSU. YAANI MTU AKIANDIKA NA KUBOFYA RETURN KEY MAONI YAKE YAJIRUSHE MARA MOJA NA AONE NAMBA MWENYEWE SASA HIYO HIYO.
ReplyDeleteVINGINEVYO UNATAFUTA TUANZISHE TUME YA KUCHUNGUZA UFISADI NDANI YA UONGOZI WA BLOGU BAADA YA KUWA TUMEKUNYANG'ANYA VISA YA KWENDA NA KUKIMBILIA UG! KWIKWI!!.
(well hayo ya mwishoni ni utani lakini ya mwanzoni naomba jibu lake)
Nyakatakule
Mzee wa Royco Mbona nashindwa kuelewa hii counting inaendaje maana nikilog off nikiiingia tena namba inaenda juu hii imekaaje nilifikiri inahesabu computer na sio Number of login.
ReplyDeleteNaomba ufafanuzi hii imekaaje mzee roycomichuzimix mix unatumix.
Michuzi na mie naitaka hiyo dola 500 nimnunulie tv mama yangu.cherryade_19@yahoo.co.uk
ReplyDeleteHabari ndugu yangu michuzi, mm ni George naishi hapa Philadelphia USA ni mwanafunzi wa Udaktari, sasa kikubwa aisee nadhani mm ndiye yule anayetafutwa kuwa mdau wa milioni 3, sasa nitafurahi sana kama hiyo hela utaituma mapema maana nataka kununua vitabu vya shule.
ReplyDeletegeorge S. M
7022 terminal sq
Philadelphia PA 19082
USA
grmavura@yahoo.com
484-453-8476.
na mie pia nataka $$$$$$$$$
ReplyDeletemambopoa10@hotmail.com
Something fishy is being cooked here.........! Let us wait and see
ReplyDelete