wafanyakazi banedarini dar leo wameandamana hadi makao makuu ya mamlaka ya bandari kupinga uamuzi wa mamlaka hiyo kuwataka wajisajili na makampuni matano binfasi yaliyopewa tenda ya kuendesha shughuli za bandari hiyo kuanzia januari 1, 2008. yaani leo walipofika bandarini wamekutana na kufuli kwenye mageti na maaskari kibao. zogo likaanza na hatimaye maandamano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Haya hao 'wabinafsishaji' wawe makini mambo yasije watokea puani tu kwa mwendo huu!
    Sijui kwa nini hatujifunzi kutokana na makosa yanayofanywa katika nchi za mbali na jirani!!!

    ReplyDelete
  2. Msijidai ukenya sasa.Wenzenu wanauana huko,mkileta fyoko Tanzania bora mchukuliwe hatua haraka.Hakuna hajira nendeni shule,msilaumu watu.Kwani biashara bandarini tu.Hawa walizaliwa jana nini??? nchi hii imebadilika sana kulinganisha na miaka ya zamani,sasa mnamletea raisi mzuri fyoko muanzishe ya kenya na zimbabwe muibadili nchi iwe Liberia.

    ReplyDelete
  3. Na kweli wasitujazie fujo za kijinga,hawana kazi wakalime basi kwani ardhi imekimbia????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...