Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na maaskofu wa kanisa katoliki baada ya ibada ya kumsimika askofu wa jimbo la Moshi Isaac Amani Massawe (kushoto kwa mh. pinda) iliyofanyika kwenye kanisa kuu la Moshi mjini jana. mwenye suti nyuma ni naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko dk cyril chami aliyehudhuria sherehe hizo pia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. tunampongeza mstaafu askofu amedeus msarikie kwa uongozi wake mzuri.Tunaamini massawe,Amani ataendeleza libeneke

    ReplyDelete
  2. mungu ibariki tanzania, viongozi wa dini muhimu kujenga maadili na kuleta amani.

    ReplyDelete
  3. sio wote waliitalo jina la bwana watakaoingia katika ufalme wa Mungu.Amina

    ReplyDelete
  4. MMoja wapo ni wewe MBIGIRI utausikia tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...