".....jumbee, nipeleke kwetu jumbe...sina pa kulala, nimechoka sana, nipeleke kwetu jumbe..." ndivyo anavyoimba babu njenje kwenye shoo yao klabu ya msasani, nyuma ya ubalozi wa marekani. leo njenje wapo kama kawaida hapo msasani, baada ya kukosekana jumamosi ilopita kutokana na ugeni mzito wa rais bush. hivi tunavyoongea bendi hii inandelea na sherehe zake za mwaka mzima za kutimiza miaka 35, na inakaribia kupakua vibao vipya kadhaa ambavyo ndivyo vinatamba hivi sasa kwenye maonesho ikiwa ni pamoja na 'kisebusebu na kiroho papo' ambacho kimeshika kweli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...