Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na maaskofu wa kanisa katoliki baada ya ibada ya kumsimika askofu wa jimbo la Moshi Isaac Amani Massawe (kushoto kwa mh. pinda) iliyofanyika kwenye kanisa kuu la Moshi mjini jana. mwenye suti nyuma ni naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko dk cyril chami aliyehudhuria sherehe hizo pia.

tunampongeza mstaafu askofu amedeus msarikie kwa uongozi wake mzuri.Tunaamini massawe,Amani ataendeleza libeneke
ReplyDeletemungu ibariki tanzania, viongozi wa dini muhimu kujenga maadili na kuleta amani.
ReplyDeletesio wote waliitalo jina la bwana watakaoingia katika ufalme wa Mungu.Amina
ReplyDeleteMMoja wapo ni wewe MBIGIRI utausikia tu.
ReplyDelete