Bro michu!
Heshima mbele! Mdau Salim Hassan hapa.
Hii ndio ofa aliyotoa mrusi kwa wana wa blue baada ya kufanya mauaji kwenye fainal ya Carling jpili 810,0000 paunds!hadi sasa tushatumia 578m paund kuimarisha kikosi cha bluu!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Yakhe,kwani hizi zako,si zake???
    wewe kinakusumbua nini???

    ReplyDelete
  2. Duh hii ni zaidi ya hela kichaka aliyotuachia bongo pamoja nakufunga barabara kwa siku nne na ikulu yetu tukufu kuwa chini ya ulinzi wa FBI badala ya wazalendo wetu

    ReplyDelete
  3. jamaaa anatoa mshiko kama MANJI wa YANGA? ahahahaaaaaaa safi sana. mbona carling cup la kwetu mkubwa wala usiwe na shaka team imekamilika kwa sasa kuna vichwa vya kutikisha nyavu kule mbele wala sina woga wa kufungwa na hao makinda wa ramos hahhaaaaaaaa@

    ReplyDelete
  4. Mdau wa MAN UTD

    Inasikitisha sana unapokuta jaam katumia hela zote hizo alafu timu inabakia kushinda Carling cup kombe ambalo halina hata shillingi poleni sana, Alafu mdau haukusoma vizuri hiyo habari wamepata loss ya £88 m alafu kitu kinacho shangaza chelsea ina invest kwenye wachezaji wenye umri wa 29 or 30 ambayo wachezaji ndio wako mwisho wa gemu lao,anagalia Man utd na Arsenal wachezaji average age bi 22 or 23 which is fantastic, na chelsea haijawekwa kwenye list ya timu kubwa duninia kwajili imeshinda only 2 premierships and no champion league ,Arsenal are a bit better because they have won premier league almost 6 times and fa cup 5 times ,so chelsea pull your sock long way to go

    ReplyDelete
  5. We mdau wa Man u,Chelsea wanachosema wao ni kwamba wamepata gross sales ya zaidi ya GBP 200mil,hiyo unayosema hasara GBP88 ni b/f ya investment ya Roman pamoja na gharama zoote alizoingia akiwa Chelsea. Matarajio yao ni kubreak even msimu wa 2009/10 kuanzia hapo wanaanza kupata faida tu. Kuhusu miaka ya wachezaji wamefanya investment kubwa sana kwenye timu B,kuajiliwa kina Frank Amersen ni moja ya jitihada zao kuhakikisha expenditure zinashuka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...