jk akiwa kasimama bega kwa bega na waziri mkuu mpya aliyemwapisha leo huko ikulu ndogo ya chamwino, dodoma, mh. mizengo kayanza peter pinda. ukitaka wasifu mfupi wa mh. pinda bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Duh, Jamaa ana sura NZITO!

    ReplyDelete
  2. Waziri mkuu wa safari hii sura tuu inaonyesha atakuwa serious na kazi..si mmnamuona jamani!!hongera baba

    ReplyDelete
  3. Bw.Michu najua ni Mapema Mno kutaka kujua Undani wa Mhe.Pinda,Ukizingatia unyeti wa yaliyokuwa mazingira yake kikazi,lakini yeye ni Public figure sasa,wa-Tz watataka kujua maisha yake ya kifamilia.Je huyu Mhe.ana Mke na watoto?

    Michu Kuna ule usemi,na Ntajaribu kutafsiri:Kwa kila Mwanaume aliye fanikiwa,basi pana mkono wa Maiwaifu(behind every successful Man,there's a Woman)Tafadhali tudondoshee wasifu wake Kifamilia.
    thankx Michu.

    ReplyDelete
  4. Huyu jamaa kazi tu. Checki sura yake, mwanausalama huyo. Haya sasa kazi imepata mwenyewe ila kitu kimoja SYSTEM, yaani SYSTEM ni mbovu bongo kwa hiyo anaweza kuwa mchapakazi ila SYSTEM can failed him

    ReplyDelete
  5. "IN EVERY SUCCESSFUL MAN THERE IS A WOMEN BEHIND AND THAT WOMEN WILL NOT BE LOVED BY YOUR WIFE"

    ReplyDelete
  6. JK safi sana. Nimekubali kweli umekuja na mabadiliko. Kazi kazi tu hakuna kumuangalia mtu usoni. Huyo waziri mpya anaonekana hana masihara na kazi

    ReplyDelete
  7. Ohh! Michu,Nimekandamiza hapo mahala na kuji-muvuzisha hadi kwenye wasifu wa Mhe.Pinda.
    Nimesoma hapo kuwa ana Mke na watoto wanne.safi sana.
    Once again thankx Michu.

    ReplyDelete
  8. DUH, HUYU JAMAA ANAONEKANA BALAA LA NGUVU MPAKA KIKWETE MWENTEWE KAMA ANAOGOPA VILE KWENYE HIYO PICHA.

    ReplyDelete
  9. aisee anon wa kwanza umeniua eti ana sura nzito.

    ReplyDelete
  10. NAOMBA KUMSAIDIA MICHUZI KUMJIBU HAUXTABLE.

    MH WAZIRI MKUU MTEULE ANA FAMILIA. AMEOA NA MKEWE NI MAMA TUNU RHANI PINDA NA ANA WATOTO WANNE.

    Au ulitaka zaidi ya Hapo mkubwa?

    ReplyDelete
  11. Wabongo na sisi hatuna dogo, Kikwete handsome watu hawaishi kusema, Lowassa alikuwa na mvi tukamuita Ndanda Kosovo, sasa huyu PM ana sura la chuma, tunaanza ooh sura nzito, sura ya kazi, kaaaaa!

    ReplyDelete
  12. Huko nyumbani sijui wnachekaga....wana sura nzito za ukali...Bora awachape hao wafisadi viboko...

    ReplyDelete
  13. Duh,mzee kabila gani huyu?mdengereko nini?
    Big up JK,hukumwangalia nyani usoni,uswahiba pembeni.

    ReplyDelete
  14. MAFISADI SI MCHEZO..ANGALIA J.K ALIVYOVALISHWA BULLET PROOF VEST KIBAO..SIJUI KAVAA TATU? MAANA KIFUA KIMEJAA.....!!

    ReplyDelete
  15. duh wabongo bwana..kama jamaa angeuwaa leo hapo wakai anaapishwa mgesema JK ndo kafanya mambo yake yey alijizuia na bullet proof.kiboko nchi yetu kiboo mbaya hakosekani

    ReplyDelete
  16. hongera waziri mkuu naona huyu kazi imepata mchapaji.Kikwete alisema wanae wasoma kibaha na mwingine udsm je wa premier wapo wapi michuzi tujuze hawa si ni jirani zako kule mpanda?

    ReplyDelete
  17. swali ame, je, hizo bullet proofu zazuwia tidikali pia?au marisawa pekeyake

    ReplyDelete
  18. YANI SIE WABONGO TUNA MATATIZO NA AKILI FINYU,SURA YA MTU INAHUSIANA VIPI NA UTENDAJI WAKE WA KAZI HAMJUI VIZURI VINAHITAJI MAANGALIZI ILI VIENDELEE KUWA VIZURI,NA MATUMIZI HAYO YATATOKEA KWENYE MFUKO WA MAENDELEO YA NCHI.BORA WENYE SURA NZITO,NA KWA KUANGALIA PICHA HANA SURA NZITO NI AVERAGE SURA ZA WANAUME WA KIAFRIKA NYIE MNAOPONDA SURA WEKENI NA ZENU TUCHAMBUE,LABDA ZENU JINSI ZILIVYO NZITO UKIWEKA MAZIWA FRESH YANAGEUKA MTINDI KWA UCHACHU WA SURA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...