Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. jamani ebu nisaidieni!!huyu jamaa anajisaidia au anaweka mafuta?maana hii picha siielewi kabisa..kama anajisaidia jamani mbona tutakuwa hatuna ustarabuu kabisa.

    ReplyDelete
  2. WE MICHUZI HUJATULIA.

    ReplyDelete
  3. veri simpo analysis... The scenarios portrays the true and simple notion of Utilising potential resources to full capacity (as in First world countries) versus wasting or under-utilisation of resouces as dipicted in third world countries (Tanzania inclusive) as highlighted by that dude beside that skip!!
    Naweka box pembeni, nashusha nondo!!

    ReplyDelete
  4. huyo mzungu anakojolea gari lake mkojo unachuruzika chini.kafungua kimlango cha mafuta hiko kujikinga watu wasione uume wake simpo.wa juu huyo msela nondo yeye dude lataka limemziba hana noma sio.wote hawa ni wachafua mazingira.TUWEWAANGARIFU SANA TUNAPOPEANA SALAMU ZA MIKONO WADAU.

    ReplyDelete
  5. du sooooo....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...