SOUTHAMPTON SOLENT UNIVESITY

STUDY IN UK:

SOUTHAMPTON SOLENT UNIVESITY INVITE INTERESTED STUDENTS FOR SEPTEMBER 2008 INTAKE TO A SEMINAR ON 22ND AND 23RD FEBRUARY 2008 AT NEW AFRICA HOTEL at Sawasdee Room, 9th Floor, FROM 9:30 AM TO 5:00 PM.

COURSES COVERED INCLUDE MBA, MSc, MA MANAGEMENT, INTERNATIONAL BUSINESS, FINANCE, HUMAN RESOURCE MANAGEMENT, TOURISM, LLB, LLM,

FOR MORE INFORMATION CONTACT

0754 – 283 269

0754 – 692 124

0754 – 312 311

0754 – 000 980





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kituko............
    MSc ya fani gani?????? Au ndo Nondoziii za mifukoni?? Natoa HOJA.

    ReplyDelete
  2. Wewe ndio kituko... if you don't understand the long form of MSC basi huna hata haja ya kuhuduria Seminal. wewe nazani hata cheti chochote huna. think first before you type your Speechless.

    ReplyDelete
  3. Wewe Anony wa Tuesday, February 19, 2008 10:41:00 PM EAT naona ndo huelewi hata unatetea nini!!! kuhuduria au kuzani?????? Unajua lakini MSc na wala sio MSC inasimama badala ya nini?? Naona kuwa you are supposed to think first before you type your PUMBA.

    ReplyDelete
  4. hahahahah kazi kwenu.

    ReplyDelete
  5. Changa la macho hilo baba!Mavyuo ya wapopo hayo,Southamton SOLENT University.Anyway Wajinga ndo waliwao ,na bongo ni wengi sana.

    ReplyDelete
  6. Michuzi usibanie bwana..tunafichua mambo!hii nondozziiii ya kitu gani?jamani muwe makini na nondo za aina hii,zinakuwa na ulakini..mdau Norway

    ReplyDelete
  7. Hiki chuo kipo na kama uamini angalia kwende mntandao website yao. Mimi nikifahamu ila sina uhakika na hao wanaokaribisha watu kwenye semina!!

    ReplyDelete
  8. Click the link.



    http://www.solent.ac.uk/international/who_to_contact/agents_abroad/tanzania.aspx

    ReplyDelete
  9. Website sio issue wewe, utalizwa unaambiwa cha wapopo kama ujui shauri yako

    ReplyDelete
  10. michuzi mbona kila siku arusha tuu?kwani hakuna miji mingine hapa tz? blog yako imejaa arusha,dar na zanzibar vip kuhusu miji kama mwanza,mbeya,moro au blog hii ni kwaajili ya miji hiyo tu?

    ReplyDelete
  11. niko solent uni at the moment nasoma llb. wapopo,wa zim na wa bongo wako wengi,ila jinsi shule ilivyo kubwa wala hamkutani....karibuni :)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...