
dawa aina ya limbwata kwa kabila moja la pwani ya mashariki huwekwa kwenye kibuyu namna hii kwa mujibu wa mwandaaji wa maonesho ya sanaa za kiafrika ambaye anajiandaa na mkutano wa sullivan utaofanyika hapa a-taun mwezi juni na maandalizi yamepamba moto. ofisi za uratibu za sullivan zimeshahamia a-taun toka dar na ziko aicc ubawa wa ngorongoro. mengine ya mkutano huo nenda http://www.thesullivansummit.go.tz/
Sasa hii Limbwata ya wapi tena? Siyo limbwata hiyo! Limbwata feki!
ReplyDeleteMmmmh!! mbona juu kama imefunikwa na "ZAKHARR" au Macho yangu.....
ReplyDeleteMsaada sheli...
Duh we Michuzi acha kutuyeyusha bwana.....Limbwata haliwekwi kwenye kibuyu bali husondekwa kule uvunguni mupendwapo na wengi (Midume).
ReplyDeletesiku hizi hamna limbwata michu , limbwata vipi wakati watu wanaingia self- service wenyewe wanaita chumvini! ? limbwata zamani bosi siku hizi wanaume mnakula live!
ReplyDelete