waziri wa mambo ya nje wa marekani dk condoleezza rice akiwa kwa watani wetu wa jadi alipokelewa kwa furaha na viongozi wa nchi hiyo - rais mwai kibaki naa makamu wake kalonzo musyoka (nyuma ya condi) ambao ujio wake umeleta matumaini kuendeleza maongezi ya amani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. michuzi umenichanganya kidogo, huyu condoleza si alikua hapa tanzania, sasa mbona tunamuona kalonzo tanzania na shein. Ratiba zao zikoje.

    ReplyDelete
  2. michuzi umenichanganya kidogo, huyu condoleza si alikua hapa tanzania, sasa mbona tunamuona kalonzo tanzania na shein. Ratiba zao zikoje.

    ReplyDelete
  3. Kumbe alimhonga Kalonzo Umakamu wa Rais? Daah, ama kweli siasa hatari!! Huyu Moi Kabaki simzimiki kasababisha watu Kufa kwa sababu ya uchu wa madaraka.

    ReplyDelete
  4. MUSYOKA ANAANGALIA NINI KWA CONDI MCHELE?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...