Tangu www.bongocelebrity.com iweke hewani sehemu ya kwanza ya mahojiano yetu na Freddy Macha wiki chache zilizopita,siku imekuwa haipiti bila kupokea barua pepe,simu au ujumbe mfupi kupitia simu za viganjani nk.kutoka kwa baadhi yenu wasomaji na wachangiaji wa BC mkitaka kupata uhondo wa sehemu ya pili.Hatuwezi kuwalaumu,tunaelewa ni jinsi gani Freddy Macha,iwe ni kupitia uandishi,ushairi na pia muziki,anagusa hisia za wengi.

Kama tulivyoahidi,hii hapa sehemu ya pili ya mahojiano yetu na Freddy Macha akizungumzia zaidi kazi zake za muziki,mambo mbalimbali ya kijamii na mengineyo kedekede.Kama ilivyo katika uandishi na ushairi,kwa upande wa muziki Freddy Macha pia kajaa tele.Anayo mengi ya kusimulia na kuweka wazi kuliko unavyoweza dhania.


Unataka kujua Freddy ametokea wapi mpaka kujikita kwenye sanaa ya muziki? Je una habari kwamba huyu bwana ni mtaalamu na mcheza karate wa kutupwa? Anasemaje kuhusu muziki wa kizazi kipya?Ana ushauri gani?Nini chanzo cha Kitoto Band?



Je…Mwisho wa mahojiano haya,utaweza kusikiliza baadhi ya nyimbo za Freddy akiwa na kundi lake lijulikanalo kama Kitoto Band.Hiyo ni zawadi maalumu kutoka kwa Freddy Macha na BC kwako msomaji,mchangiaji na hususani mpenzi wa muziki.Kwa hakika,kama wengi wenu mnavyopenda kusema,haya ni “mahojiano-

Website :http://www.freddymacha.com
Blog : http://www.freddymacha.blogspot.com
Swahili blog: http://kitoto.wordpress.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi Tovuti ni nini? Internet au Intranet au website??

    Nijulisheni..

    ReplyDelete
  2. Jamani naomba mkeo anisamee, lakini ukweli nikwamba we Fred miaka ya 80 ulikuwa na roho yangu jinsi ulivyokuwa mzuri aaaaaaaaaaah! we acha tu, lakini kwa enzi hizo mwanamke huwezi kumwambia mwanaume unampenda unaonekana malaya basi kaka Fred nilikufa na TAI shingoni,kwa sasa nimeolewa nina watoto wanne.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...