Home
Unlabelled
jk na bush ikulu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu, huyu jamaa(Bush&wife) wanalala wapi??Hotelini au Nyumba kubwa??
ReplyDeleteGeorge Clooney and Denzil Washington!!!
ReplyDeleteHata mi niko interested to know where they are staying while in bongo?
ReplyDeleteRais Bush na Mkewe wanalala kwenye nyumba ya balozi wao. Secret Services hawawezi kumuachia alale hotelini au Ikulu.
ReplyDeleteSAC
nani kakuambia hawezi kulala hotel au ikulu?kwani arusha jana alilala wapi?kwenye ubalozi wao kule kinondoni hakuenda kulala bali walichukua hoteli nzima za kempiski na movin pick ila yeye alilala kempiski kuna view nzuri ya bahari
ReplyDeletekikwete tafadhali chukua tahadhari, na kutuliza watanzania, hasa wanafunzi wanaotaka kuandamana, toa hizo pesa, peleka kwa wananchi.
ReplyDelete