jk na mamia ya wadau wakimkaribisha mgeni wao ikulu leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michu, huyu jamaa(Bush&wife) wanalala wapi??Hotelini au Nyumba kubwa??

    ReplyDelete
  2. George Clooney and Denzil Washington!!!

    ReplyDelete
  3. Hata mi niko interested to know where they are staying while in bongo?

    ReplyDelete
  4. Rais Bush na Mkewe wanalala kwenye nyumba ya balozi wao. Secret Services hawawezi kumuachia alale hotelini au Ikulu.

    SAC

    ReplyDelete
  5. nani kakuambia hawezi kulala hotel au ikulu?kwani arusha jana alilala wapi?kwenye ubalozi wao kule kinondoni hakuenda kulala bali walichukua hoteli nzima za kempiski na movin pick ila yeye alilala kempiski kuna view nzuri ya bahari

    ReplyDelete
  6. kikwete tafadhali chukua tahadhari, na kutuliza watanzania, hasa wanafunzi wanaotaka kuandamana, toa hizo pesa, peleka kwa wananchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...