kikosi cha timu ya taifa ya wanawake cha kameruni kikitoka wakati wa mapumziko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hawa wanawake kweli?

    ReplyDelete
  2. jamani hawa si wanawake najua watu watadai sababu ya fufu ,uchunguzi wa kina ufanyike

    ReplyDelete
  3. hao ni wanawake wa shoka.TFF waachelongolongo wawatafutie twiga staz mechi za maana za kirafiki badala ya kucheza na timu za mchangani na academia (academy) za watoto

    ReplyDelete
  4. Haiwezekani, hawa si wanawake!!!

    ReplyDelete
  5. Michuzi ebu thibitisha maana ulikuwepo uwanjani hao ni akina dada ,jezi namba 13 na 15 wakisema wazipige na mimi nakimbia, au ndio wale wanajulikana kwa 'shemale'? yaani jike dume, lakini gene za kimume zimetawala?.Dada zetu wamejitahidi maskini.

    ReplyDelete
  6. mbona huyo namba saba 7 wamemuweka mwanaume au nimekosea sio men huyo maana kakaa kimen tu poa mmejitahidi sana.

    ReplyDelete
  7. Michuzi wewe ni mtu wa heshima sana. Nimesoma blog yako na hata siku moja sijawahi kuona umekosea. Leo naomba nikusahihishe...hizi picha za wanamieleka wa kiume wa Malawi umeweka kimakosa.

    Tafadhali weka picha za kina dada na uwaombe msamaha kwa maandishi hawa wanaume wa shoka.

    Mdau mwingine anasema hawa ni askari wanaume wa FFU.

    Duu...Mheshimiwa Mkwasa was the only lady uwanjani...

    Kama ni kweli basi timu yetu imeonewa, re match na timu za kike.

    Ukisema awape maua hawa wanamichezo wanaweza kukupiga kwa kuwadhalilisha..

    ReplyDelete
  8. anon feb 24 12;26 mbona hata mama yangu naye alikuwepo jmani na yeye ni RC wa pwani au kisa michu hajampiga picha?

    ReplyDelete
  9. Du uncle Michuzi inabidi tuwatafute madume ya shoka tuyafike vifuu maana hawa sio wanawakemaana muonekano unaashiria ni madume tena wapasua mawe kabisaa...sasa hapa inabidi timu yetu ijinoe kwa kuomba friend mechi na team za kiume na si hizi za mabinti tu!!tena zisizojulikana!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...