Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kasi ya gari ilimzidi dereva, konda akaamua kudrop,lakini yaelekea dereva kalimudu anarudi barabarani.nashauri atumie vioo vyake kuwacheki konda na matingo wake.maana mbele kuna uchaguzi bridge giri lisijejikuta mtoni.
ReplyDeleteKonda alikua anadhulumu abiria,
ReplyDeletesometimes anadai hela mara mbili na pia wakat mwingine anakataa kurudisha chenji.
Abiria kuja juu ndipo gari likaanza kuchukua uelekeo mwingine lakin hatimae limerudi barabarani, konda ashapatikana mwemngine kwan mbele kuna trafiki aitwae Uchaguzi, wenye gari wameogopa
hats off for KP.niko short of words.keep up the good work
ReplyDeleteMy God! Kipanya una kipaji cha ajabu kabisa. Kwa ubunifu huu unastahili sifa kem kem Bro. manake dah! sijui niseme nini zaidi.....
ReplyDeleteIla Be Blessed and keep it up.
Kipanya nimekukubali, wewe ni funika bovu, hata sijui uwa unawaza nini kutoka hizo katuni zako. huna mpinzani bongo..... angalia husije kumalizia nguvu kwenye fani za kudandia (eg. mitindo) fani yako ndo hii, ungekua nchi zilizoendelea kwa kazi hii hii ungeendesha VOGUE, Big up masoud
ReplyDelete" Mbwembwe za bwana duleva zilikuwa nzuri kweli ... kalamba kona then shwwwwwwwwwwwwwaaap karudi katika lane" ha ha ha..
ReplyDeleteKP huwaga unanichoshaga mie! kila siku skosi kupita mtaa huu ili ncheke nawe... Tumia kipaji mtoto tuelimishe, tufurahishe na tuhekimishe.. keep up Kijana.
Bangusilo Bint Kilongola
We Misupu usituzevenze na KP wako! Kitu hata hakijaeleweka mnasema tumerudi kwenye mstari. Kwanza tuhakikishiwe watuhumiwa watashitakiwa, pili tuelezwe fedha za uma zilizopotea zitarudije. Vinginevyo ni kiini macho tu.
ReplyDeleteUnajua sikuhizi gari za viongozi zimefungwa VITU huko chini, hii ni katika harakati za 'Ku-Control' spidi za magari,'Ku-Ditect' milipuko, basi alimradi tu kuwalinda Viongozi wetu.Na nnaelekea kufikiri hapa dereva wa gari hilo la viongozi alikuwa anakwepa mlingoti uliojitokeza ghafla katikati ya Barabara,Mhh!cha ajabu hata KP mwenyewe hakuuona!!
ReplyDelete**Haya tena Mambo ya Mlingotini hayo jamani**
Acheni kumpa huyo kipanya sifa zisizo zake hana ubunifu wowote zaidi ya kuchora.Kwa akili yenu finyu mnadhani sikuzote hiyo critic inakuwa ya kipanya!!?? Huyu bwana analetewa mawazo na wachambuzi wa mambo na kisha anaambiwa achore.anachofanya huyu bwana ni ku-translate katika picha.Msivamie fani kisha mkaanza kutoa sifa bila kujua undani wake.Mchoraji yeyote anaweza kuhamisha mawazo yoyote kuwa picha.
ReplyDeleteAsiyependa sifa hapo juu samahani kwa kukukera kumsifia Kipanya.. Ila swali langu kwako, ingekuwa ni wewe umeletewa mawazo na hao unaowaita wachambuzi wa mambo utaweza fanya alichokifanya huyu jamaa? Kama jibu ni ndiyo, basi nakushauri utudhihirishie kuwa Kipanya si lolote kwa kubuni idea yako mwenyewe then uipresent tuione otherwise jitahidi kupunguza wivu usio na maana.
ReplyDeletebwana usiyependa sifa, masoud kipanya mkali, tusisubiri afe ndo tumsifie.
ReplyDeleteroho inakuuma kuona mwafrika tena mtanzania akifanya mambo kama haya, we unaamini haiwezekani tu. na utakufa hivyohivyo ukiamini watanzania hawawezi
mimi naona bado hatujarudi barabarani.
ReplyDeleteYaani ndio story imeisha hivyo jamani . Na hela na walioiba nini ni kitawakuta au ndio hivyo ukiiba unajiuzulu then siku inaisha...badoo tuambiwe nini...kam ani hivyo basi hata mimi nataka niwe kiongozi nijitajirishe kesho nijiuzulu...Bado bwana kipnya bado hatujarudi barabarani kabisa.....