Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du afande lazima afe,maana kilaji kakatiwa
ReplyDeleteangalia hawa jamaa wasije wakakuchapa..hawajatulia katika maamuzi sahihi...Naomba kuuliza wadau..Kwa nini wanajeshi wa Tanzania wana-act above the law? and the concerned authority keeps quite? Je, hii imekaa sawa? Bro. Michuzi naomba wakilisha hii mada..Mdau.
ReplyDeleteSIE TULIO NJE MISAMIATI MINGINE HATUIFAHAMU LAKINI KATUNI INACHEKESHA.IKIWA DRIP IMEKATA HUYU MGONJWA INAKUAJE.ANYWAY MNAO FAHAMU TUFAHAMISHENI TUPATE PICHA YA KP KWA UNDANI.
ReplyDeleteDuuh,hapana KP hii umezidi,yaani afande kutiwa maji ni sawa na drip,toba hatari kubwa!
ReplyDeleteDAWASA ni Mamlaka ya Maji Safi Bongo......Afande kakatiwa maji, wasije kumalizia hasira kwa raia!!!!
ReplyDeleteKwa ..Anonymous February 23, 2008 5:29:00 PM EAT.
ReplyDeleteJWTZ..Jeshi la wananch wa TZ lina limbikizo la deni zaidi ya hilingi milioni 200.
Hivyo DAWASCO wamewakatia maji.Wao walifikiri kwa kuwa ni wajeshi basi wangeachwa.
Ndio kwa ufupi nduigu yangu.
KP..wasije kukufata magorofani hapo mawingu..wakutungue.aaa aaaa
DAWASA ni Mamlaka ya Maji Safi Bongo......Afande kakatiwa maji, wasije kumalizia hasira kwa raia!!!!
ReplyDeleteTanzania bado demokrasia ni changa kweli. Wanajeshi wanawatia ndani wafanyakazi wa dawasa kwa kufanya kazi yao, lakini hamna Michuzi kuandika wala serikali kuingilia kati na kusema wanavunja sheria. Kama kungekuwa na demokrasia Tanzania, waziri wa ulinzi angejiuzuru. Ubabe bado upe mbele kabla ya haki za binadamu.
ReplyDeleteWADAU ASANTENI KWA MAELEZO YENU,SASA NIMEIELEWA PICHA VIZURI.
ReplyDeletehahaha wewe kp unatakiwa ukapimwe akili...
ReplyDeleteit woz meant to be a kompliment aniwei