Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Du afande lazima afe,maana kilaji kakatiwa

    ReplyDelete
  2. angalia hawa jamaa wasije wakakuchapa..hawajatulia katika maamuzi sahihi...Naomba kuuliza wadau..Kwa nini wanajeshi wa Tanzania wana-act above the law? and the concerned authority keeps quite? Je, hii imekaa sawa? Bro. Michuzi naomba wakilisha hii mada..Mdau.

    ReplyDelete
  3. SIE TULIO NJE MISAMIATI MINGINE HATUIFAHAMU LAKINI KATUNI INACHEKESHA.IKIWA DRIP IMEKATA HUYU MGONJWA INAKUAJE.ANYWAY MNAO FAHAMU TUFAHAMISHENI TUPATE PICHA YA KP KWA UNDANI.

    ReplyDelete
  4. Duuh,hapana KP hii umezidi,yaani afande kutiwa maji ni sawa na drip,toba hatari kubwa!

    ReplyDelete
  5. DAWASA ni Mamlaka ya Maji Safi Bongo......Afande kakatiwa maji, wasije kumalizia hasira kwa raia!!!!

    ReplyDelete
  6. Kwa ..Anonymous February 23, 2008 5:29:00 PM EAT.

    JWTZ..Jeshi la wananch wa TZ lina limbikizo la deni zaidi ya hilingi milioni 200.

    Hivyo DAWASCO wamewakatia maji.Wao walifikiri kwa kuwa ni wajeshi basi wangeachwa.

    Ndio kwa ufupi nduigu yangu.

    KP..wasije kukufata magorofani hapo mawingu..wakutungue.aaa aaaa

    ReplyDelete
  7. DAWASA ni Mamlaka ya Maji Safi Bongo......Afande kakatiwa maji, wasije kumalizia hasira kwa raia!!!!

    ReplyDelete
  8. Tanzania bado demokrasia ni changa kweli. Wanajeshi wanawatia ndani wafanyakazi wa dawasa kwa kufanya kazi yao, lakini hamna Michuzi kuandika wala serikali kuingilia kati na kusema wanavunja sheria. Kama kungekuwa na demokrasia Tanzania, waziri wa ulinzi angejiuzuru. Ubabe bado upe mbele kabla ya haki za binadamu.

    ReplyDelete
  9. WADAU ASANTENI KWA MAELEZO YENU,SASA NIMEIELEWA PICHA VIZURI.

    ReplyDelete
  10. hahaha wewe kp unatakiwa ukapimwe akili...

    it woz meant to be a kompliment aniwei

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...