MWANASHERIA MKUU MH. MWANYIKA ANATOA MAELEZO NA KUOMBA BUNGE LITHIBITISHE UTEUZI HUO....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hee huyo Mwanyika yeye hajajiuzulu tu? Asije akamuambukiza Mizengo virusi vya ufisadi.....

    ReplyDelete
  2. Kwani ina maana Mwanyika hajaachia ngazi?Khee kuna watu wana ubishi na madaraka!! anyway atupatie PM then aachie kwa hiari kabla hajatolewa,mwenzake wa TAKUKURU kesha tangaza kuondoka.


    Mdau mpenda nchi

    ReplyDelete
  3. TANZANIA TUMEINGIA NEW CHAPTER IN POLITICS.
    POLITICS ZA TRUTH.
    SIASA ZA KIKWELIKWELI.
    POLITICS LIKE IN ISRAEL, UK, JAPAN...
    WHERE KWELI RULES.
    INTELLIGENT POLITICS, WHERE THERE IS LOGIC.

    WE CAN BE REST ASSURED THAT HATUTARUDI KULE TENA!

    KULE KWENYE KUFUMBIANA MACHO!
    KULE AMBAKO NDIVYO ILIKUWA SIVYO NA SIVYO ILIKUWA NDIVYO...

    OBVIOUSLY NOW THERE WILL BE COUNTER, COUNTER, COUNTER-CHECKING OF PROCEDURES BEFORE ENGAGING IN A STATE CONTRACT OR DEAL OR WHATEVER AMBACHO KESHO KITAMTIA KITANZI MTU!

    BECAUSE THE OUTGOING BOSS HAS HIS "PEOPLE" STILL IN THE HOUSE.

    OF WHICH WAMETEGA WANASUBIRI NANI ATAUVAA MKENGE WALIPUE.

    THEY WILL NOW BE FORCED TO BE CLEAN.

    VIGILANCE IS FULL TIME NOW.

    IKIJIKWAA UMEONDOKA!

    I AM OPTIMISTIC.

    ENTER STRAIGHT POLITICS, EXIT KUFUMBIANA MACHO...

    ReplyDelete
  4. HUYU MWANYIKA ANASUBIRI NINI KUJIUZULU?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...