samahai kaka michuzui,
naomba husinibanie hombi langu naomba kuwatafuta marakiki zangu nilio somanao shule ya msingi mbuyuni miaka ya 82 kwani ni muda sasa tumepoteana.
na ni kama wafuatao; lulanga mapunda. herik prospa .stanley gama. kwanana hukwaju.nitashukuru sana kama hutaniwekea tangazo langu na ninapenda wawasiliane na mimi kwenze e mail yangu freeedomm10@yahoo.com
kwa leo sina mengi nashukuru kama hutanibania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. mshikaji ulivoandika tu inaonekana kuwa wewe ni mtu wa zamani....eti "kwa leo sina mengi.." ungeongezea basi na "hofu na mashaka ni kwenu mlio mbali na upeo wa macho tangu....."

    ReplyDelete
  2. Dah Pole, rafiki zako utawapata - ila baba hizo 'H' kama unadaiwa... Ebu ngoja niseme sentence moja nikiiga mfano wako... here we go... "Hukitaka Huko Haliko Hakukumbuke we Huwe Hunamtumia Michuzi tu"... he he heeeeeeee! we kiboko!!!

    ReplyDelete
  3. Kaka freedom10 WHAT'S UP WITH YOU AND YOUR H?
    HAI HOP HMARAFIKI HZAKO HWATA HPITIA HKWENYE HBLOG HYA HMICHUZUI HILI HWASILIANE HNAWE.

    ReplyDelete
  4. kaka hizo 'H' ni noma mwanangu, maana umesema ''nitashukuru sana kama hutaniwekea tangazo langu'' ukitafrisi ni kwamba hutaki akuwekee tangazo lako. ha hahahahahaa. lol.
    ns.

    ReplyDelete
  5. Hivi huyu jamaa wakati wenzie wanasoma yeye alikuwa anakwea madari nini? Mbona hata kuandika kiswahili hajui? au anaprefer Kiingereza?

    Au kwa lugha ambayo Mdau huyu ataelewa...

    Hivi Huyu jamah wakathi wenzewehe hwanasomoha heyeye halikuwa hanakweha madahari? Mbohona hata huandika kiswahalihi hajuwahi? hau hanapreferaha kihingereziha?

    Go back to school What a dope!! Get out of my Internet!!

    Mdau - Boston, US

    ReplyDelete
  6. miaka ya 82! duh?? Hinaonekana Humeenda age sana lakini hukui maana hata mapozi yako hayaendani na Humri wako...
    anyway kila la heri

    ReplyDelete
  7. Hey wadau mbona noma kiasi hicho????? Tumsamehe jamani maana kusema ukweli anaharibu lugha lakini ndo hivyo watu tunatofautiana viwango. Kaka naomba urekebishe hizo sentensi and then umtumie tena bro Michuzi. Mwambie aidelete hiyo ya mwanzo. Pole sana. Lakini usijali ndo wakati wa Uwazi na Ukweli. Na kama ndugu na marafiki zako walikuwa hawakwambii tatizo lako mshukuru sana bro Michuzi maana hii blog imekusaidia umefahamu tatizo lako na unaweza kulirekebisha.

    ReplyDelete
  8. HILI NI MBUMBUMBU LA MWISHO SIJUI LA KWANZA.KABLA YA KUTUMA PICHA NA HIZO COMMENTS ULIPASIKA KUZIPITIA NA KUSAHIHISHA MADUDU ULIYO ANDIKA,ETI NAOMBA HUSINIBANIE HOMBI LANGU? WHAT THE F..IS THAT? OHH ETI ...NITAFURAHI SANA KAMA HUTANIWEKEA TANGAZO LANGU...! SHULE ILIKUWA ISSUE KWA HUYU KIJANA

    ReplyDelete
  9. kaka nitawapati e-mail yako mimi ni jirani zangu ,ila lulanga yuko bongo ndungu zake niko nao hapa U.S.A [OH]

    ReplyDelete
  10. hehehe manasema posi ...mweee mwenzenu anawaonyesha ring cjui ya engagement...kidaimond kipo hapo mkononi...

    watu wanaonyesha asset zao kwenye blog ya Kaka yetu huku kila siku kumbe hamcheck kila detail

    ReplyDelete
  11. Mshikaji helimu duni lakini sina huhakika who is worse, maana wanotoa maoni hinaelekea helimu na mtazamo wao ndio zilo kabisa bola hata huyo aliejitoa muhanga.Kama mesoma sana muhunge muhelimisha huyu ndugu yetu badala ya kukandia.Geti a laifu endi livu himu aloni.... Dude, keep it up in your own style, there gonna talk no matter what...Achana na washamba!Inawezekana wamesoma sana lakini elimu hawana.....hahahahahha!!Ezzzyyyyy!

    ReplyDelete
  12. Lulanga Mapunda yuko Yanga mwenzio, anakula tu pesa za manji!!! kama vipi wasiliana na viongozi wa yanga na ikibidi umtafutie timu huko uliko!!! Ivo Mapunda je? humtafuti au kwa sababu kala suspension?!!!!

    ReplyDelete
  13. Jamani msimshangae huyo ndio mtaalamu wa lugha ya kiswahili kijijini kwao. Nahisi kama atokea BKB vile maana wengi wao wana hili tatizo la herufi U na H.

    ReplyDelete
  14. Nimesoma hizi komenti nimecheka kinoma.Nimependa jinsi wabongo mnavyoihusudu Lugha kubwa duniani ya KISWAHILI.Ningekuwa wewe michuzi nisiliweka hili ombi la jamaa maana kakwambia kuwa "nitashukuru sana kama hutaniwekea tangazo langu.."
    Michuzi jamaa hakutaka hili tangazo liwekwe hapa.Dah inasikitisha kuona lugha yako mwenyewe halafu huwezi kuongea kifanisi.

    ReplyDelete
  15. MBIGIRI NDUGU YANGU NILIPOSOMA HUU UJUMBE MARA YA KWANZA KULIKUA NA COMMENT MOJA TU,NIKAWEKA YA KWANGU WAKATI NAIANDIKA NILICHEKA SANA.SASA NIMEKUJA TENA KABLA SIJALALA NIMEKUTA MAONI YA WENGINE NIMECHEKA MPAKA MBAVU ZIMEUMA.
    MICHUZI ALIONA MAELEZO YA "H" YALIVYOGONGANA YA HUYU KIJANA NDIO MAANA AKAAMUA ASIIBANE.KWASABABU ILIKUA KAZI RAHISI SANA KWA MICHUZI, KIJANA ANGEMSHUKURU SANA KAMA ASINGEWEKA TANGAZO LAKE.

    ReplyDelete
  16. huyu jamaa ni mhaya alafu kasoma hadi darasa la saba, kajitahidi sana, but kwao kaishozi he´s a doctor, wahaya wana shida ya kutanka u, na ngá, mfano badala ya kusema ngómbe mhaya husema ngombe, piga uwa hawezi badilika! mhaya ya kusema utakuja, husema hutakuja!!, hivyo inahitaji moyo kuwasikiliza, ndo maana wana offcourse nyingi kwenye maongezi yao, huwa wanakwepa kitu!

    ReplyDelete
  17. michuzi, huyo kaka ni mtanzania au mrundi? maana hizo HU....mm si mchezo. sina mbavu

    ReplyDelete
  18. Hivi ni kwamba kiswahili haukifahamu au mapozi ya kishamba??siwafigalii watu wa aina hii andika kiswahili fasaha kama hauwezi sio lazima kuweka salamu zako huku.Unaharibu lugha ya taifa.

    ReplyDelete
  19. Mi nilipoona huo msaada kwenye tuta nikasomaaaa nikatabasamu, nikasema huyu jamaa wadau watamdaka kama mpira wa kona, na kweli bwana, kidogo nikaona comments kama tano baadae jioni zikawa kumi nambili nikasema sisomi mpaka ziwe za kutosha kufungua nilipata burudani ya maoni humu hadi nikachoka.

    ila tatizo la kiswahili kwa baadhi ya makabila kuna silabi zinawashinda kutamka na anapoandika anaandika kama vile anavyotamka yeye na kuona ni sahihi,zaidi waishio vijiji vya ndani wao hutumia sana lugha ya kabila lao na ukiwa mtoto ni lazima bibi atakusemesha kinyumbani tuu.Pamoja na kuwa shuleni lazima utumie kiswahili bado kuna shule nyengine huko inabidi walimu watumie na kilugha ili kumsaidia mtoto apate kuelewa kwa yale anayosomeshwa, nasema hivyo niliwahi kutembelea huko vijijini mwaka 2003 nikakuta watu wanajua kilugha tu pamoja na watoto, kutoa wale vijana vijana wajanja wanaotorokea mjini kwa muda na kurudi, kwa vile nimeishi sana mkoa huo nikawa najua lugha yao kidogo nikawauliza sasa watoto wakienda shule wanatumia lugha gani? ndio wakanijibu hivyo wanajifunzia kiswahili shuleni , na ili mwalimu awasiliane nao sawasawa, inabidi atumie na kilugha kidogo ili kuwakilisha somo kwa mtoto ili amuelewe vema. Sasa maneno mengi hasa misamiati au misemo mingi ya kiswahili au kunyoosha kiswahili inabidi tuwasamehe tu, na tujaribu kuwaelewa kama anon feb 19,10:57alivyosema. Pole kijana ila msg send

    ReplyDelete
  20. Doh! mshkaji,hizo H!!,Noma,sasa huyo mshkaji wako wa pili, jina lake anaitwa Herik au Erick?.

    ReplyDelete
  21. duu imekuwa tabu sio kama sijui kiswahili naongea vizuri sana kwani bila kutumia ujanja bro michuzi anabania ndio sababu nikabambika bambika kiswahili ndio maana kaniweka na waosha vinywa nao wapate ya kusema kudadadeki

    ReplyDelete
  22. Wape wape mwanangu...Umenikuna kuloho ......

    ReplyDelete
  23. Jamani,jamani huyu kijana mbona mnamshushua hivi?yeye anawatafuta marafiki zake lakini nyinyi mnamkandia tu.Vibaya hivyo wenzangu

    ReplyDelete
  24. yaani lazima he MUST be originally from bhukhobha (BKB), maana wale wana matatizo sana na herufi "H".....as the matter of fwact, hiyo hata wenye PhD inatatiza. but all matters, it makes sense. iwe bhojo wanghambire inafu!

    ReplyDelete
  25. eee wajameni!! hiri rikijana rinaomba musaada wetu rimezoea kusaidiwaga!! ebo!!Herimu sio kosa!

    ReplyDelete
  26. kaka lulunga mapunda amekutumi e-mail basi angalia e-mail zako

    ReplyDelete
  27. huyu anon wa feb 21 anajidai kumrekebisha mwenzie,alafu yeye mwenyewe kaandika 'lazima he must be'wadau hamkuliona hilo?

    ReplyDelete
  28. wewe anonymous wa feb 22, 5:45 AM, ni "hafalu" siyo "alafu"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...