Home
Unlabelled
majibu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa hiki ukilala hubadilishi style? na pia huwezi kulala na mwandani wako??? mi sikitaki!
ReplyDeleteHiki hakiwezekani kuwa kitanda cha kulala binadamu, utajikunjaje wakati wote, na ukiota vibaya tu unadondoka.
ReplyDeleteHiki hata hakiwezekani
Ooho! Kumbe wewe hujui? Hiki kitanda kinaitwa "HAKUNA KUJIGEUZA GEUZA".
ReplyDeleteSheeeeee! sasa hii watu naona sisi haijui kitu. Mutu talalaje kama alama ya ulisa?
ReplyDeletehilo ni tandaa la Flaviana Matata!!!
ReplyDeleteKajibu mapigo sawa, lakini wa mwanzo ni wa mwanzo tu. Isitoshe hicho kitanda labda ilazwe maiti kwa kuwa haigeukigeuki, ila naamini wewe na mjibu mapigo hakuna awezaye kulala kitanda hicho. Kwa upande mwingine pia nachelea usemi wa Mr. Ebo "wacha kubishabisha kitu usichokijua utalibikiza ujinga"
ReplyDeleteKhaaaaa,
ReplyDeletehuyo aliechonga hicho kitanda ni wa ajabu sana,
Mi nafikiri alikua anachonga kaburi, na sio kitanda.
Kwanza wengine hua tunalalaga chali, sio kiupande upande na namna hiyo.
na fata wanaojikunja kuna ambao wanaojikunya sana mpaka kidevu kinagusa magoti na wengine kidogo tu, sasa hiyo iko wapi??
Mwisho kulala ni starehe na kupumzika baada ya uchovu wa siku, sasa haifai kulala kwa masharti ya kitanda
Vipi tena jamani au ndo mambo ya mugongo mogongo nini hayo
ReplyDeletemr dixon
ReplyDeletehiki kitanda bei gani. kitatufaa sana sisi tunaofuata nyota ya kijani. ila kifungwe safety bilts
mr dixon
ReplyDeletekitanda hicho bei gani?kitatufaa sana sisi tunaofuata nyota ya kijani.