kuna mdau kajibu mapigo ya kitanda changu hapa zenji...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. sasa hiki ukilala hubadilishi style? na pia huwezi kulala na mwandani wako??? mi sikitaki!

    ReplyDelete
  2. Hiki hakiwezekani kuwa kitanda cha kulala binadamu, utajikunjaje wakati wote, na ukiota vibaya tu unadondoka.
    Hiki hata hakiwezekani

    ReplyDelete
  3. Ooho! Kumbe wewe hujui? Hiki kitanda kinaitwa "HAKUNA KUJIGEUZA GEUZA".

    ReplyDelete
  4. Sheeeeee! sasa hii watu naona sisi haijui kitu. Mutu talalaje kama alama ya ulisa?

    ReplyDelete
  5. hilo ni tandaa la Flaviana Matata!!!

    ReplyDelete
  6. Kajibu mapigo sawa, lakini wa mwanzo ni wa mwanzo tu. Isitoshe hicho kitanda labda ilazwe maiti kwa kuwa haigeukigeuki, ila naamini wewe na mjibu mapigo hakuna awezaye kulala kitanda hicho. Kwa upande mwingine pia nachelea usemi wa Mr. Ebo "wacha kubishabisha kitu usichokijua utalibikiza ujinga"

    ReplyDelete
  7. Khaaaaa,

    huyo aliechonga hicho kitanda ni wa ajabu sana,

    Mi nafikiri alikua anachonga kaburi, na sio kitanda.

    Kwanza wengine hua tunalalaga chali, sio kiupande upande na namna hiyo.

    na fata wanaojikunja kuna ambao wanaojikunya sana mpaka kidevu kinagusa magoti na wengine kidogo tu, sasa hiyo iko wapi??

    Mwisho kulala ni starehe na kupumzika baada ya uchovu wa siku, sasa haifai kulala kwa masharti ya kitanda

    ReplyDelete
  8. Vipi tena jamani au ndo mambo ya mugongo mogongo nini hayo

    ReplyDelete
  9. mr dixon
    hiki kitanda bei gani. kitatufaa sana sisi tunaofuata nyota ya kijani. ila kifungwe safety bilts

    ReplyDelete
  10. mr dixon
    kitanda hicho bei gani?kitatufaa sana sisi tunaofuata nyota ya kijani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...