Home
Unlabelled
mambo ya mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sawa ni ubunifu, ila sasa vinyesi vyaenda wapi? au ndo ubunifu wa kuchaua maji?
ReplyDeleteAnon wa kwanza we ukiona watu wanapanda meli au KARUA(jahazi/dau) unafikiri wanajisaidia wapi? au wale wavuvi na ndugu zetu wanaoishi kando ya ziwa au bahari, sasa nakuomba uanzie huko sio hapa kwenye huu ubunifu
ReplyDeleteHuu si ubunifu,ni mambo ya kuiga tu ulaya.nimeona restaurant 2 zinazoelea huku kwa wenzetu,ila bongo wanaonekana tilapia hotel ni wabunifu,
ReplyDeleteYeah right, ubunifu sio? nakumbuka issue ya MV Bukoba ilitokea kwenye ziwa hilohilo. Imagine umepata chumba na mamaa then asubuhi mnaamka mnajikuta mko ufukweni bila nguo, chanzo kuwa boti ilikuwa na TUNDU hivyo kusababisha tafarani...
ReplyDeleteSANGARA
PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.............
ReplyDeleteOUR JF< JF JF I MEAN JAMBO FORUMS IS B.A.C.K
HAHAAAAAAAAA...
"CHECK THIS OUT, WENYE WIVU WAJINYONGE BABAAAA.. WENYE WIVU WAJINYONGEEE"-SAIDA KAROLI
http://www.jambonetwork.com/jamboforums/forumdisplay.php?f=6
Kwa bongo ni ubunifu. Sie ambao hatujaendaga maulaya tungejuliaga wapi??
ReplyDeleteChumba ni kizuri ila kuna wakati tulilala hapo usiku mvua ikanyesha...kulivuja balaaaa!! Kwiii kwwiiii!
Sijui wamesharekebisha??
Namuunga anon wa kwanza na ninampinga anon wa pili, sawa kwenye meli wajisaidia humohumo lakini ieleweke meli yatembea yakhe wakati ukiangalia vizuri hiyo picha juu utaona vizingiti chini ya ubunifu hou,ikimaanisha swala la usafi wa mazingira lahitaji ufafanuzi!!!
ReplyDeleteMikanjuni.
Watu wanaolala humo wajiangalie maana pia kuna jini linaitwa Sarafina mwe!!!!!!!!., je wamefuata vigezo vya mahesabu yaani hiyo meli ina uwezo wa kubeba mzigo kiasi gani na tena unaongezea nyumba juuuuuuuuuuu, mhn mi nina mashaka hapa...........
ReplyDelete