Kaka Michuzi,
Habari ya Richmond and its effects ambazo nilizipata nikiwa kwenya maombolezo ya wahanga wa ajali ya Ndege ya wachezaji wa ManU huko Munich.
Habari ya kujiuzulu kwa baadhi ya watuhumiwa ilikuwa ni habari nzuri kwa watanzania wengi ila kwa sababu nilikuwa kwenye mambo ya msiba, nilishindwa kuonyesha hisia zangu za furaha kwa hiyo furaha yangu ilibidi iishie tumboni tu siku hiyo.
Anyway, naomba uwakilishe picha hizo kwa bwana Nyanda Shuli wa Haki Elimu, maana yeye haswa ndie niliyemuwakilisha akiwa kama shabiki wa Man U, mi lengo lingine ilikuwa ni kwenda kukagua hali ya Kombe tutakalolichukua sie wana wa Imirati.
Kaka wa taifa
Tumaini Sangija.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani kombe hilo ni linabaki hapa hapa nyumbani arsenal mnakazi tutawadaka tu ,Liverpool siku nyingi wameliaga kombe wajitahidi kwenye FA tu sasa maan hate UEFA hawpiti hatu ya mtoano ,Chelsea kidogo wanajitahidi lakini kazi ipo mwaka huu

    ReplyDelete
  2. jamani kweli milima haikutani, hivi we tumaini sengija unakumbuka pale mazengo wakati wewe upo form six kulikuwa kuna dogo mmoja hivi mlikuwa mnapiga naye sana stori alikuwa anaitwa 'castrol joachim' ambaye wakati huo yeye alikuwa kama form 2 au 3 hivi? basi huyo dogo ndio mimi ninaeandika hapa, kama hutakumbuka vizuri mimi ni yule ndugu yake na 'rodasi' kwa sasa nipo Texas USA. namba yangu ya simu ni +1 281 236 5204 embu tuwasiliane bro, tukumbuke enzi zile, nitumie hata msg tu mi nitakupigia, e-mail yangu ni castroljoachim@yahoo.com

    ReplyDelete
  3. hiyo picha hapo juu ni mizengwe ya photoshop, umejibandika...acheni kutaka sifa msizokuwa nazo...

    ReplyDelete
  4. Baada ya kutoka matangani,hitmani naona mmerudi tena msibani.Manchester city wamewautunguwa 2-1.Kesho wazee wa kazi tutawanjuwa blackburn na kuweka 5pts kati yetu na nyinyi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...