

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona wbsite ya huyu dada haifunguki, wewe bwana mdogo michuzi? au umetupa feki?
ReplyDeleteHEI KAROLA UP MASAI WANGUUU!!UWA NAKUFAGILIA SANA WEWE DADA..
ReplyDeleteMDAU NORWAY
Carolla, keep up the good work!
ReplyDeleteYeah Carola keep it up Dadaa nadhani na Ras naye ataibuka soon... michuzi rekebisha link ya Carola ni www.carolakinasha.com na SIO carolakinansha.com kama ulivyoandika
ReplyDeletewebsite haifunguki! Michuzi mbona unatuyeyusha
ReplyDeletembwa mwitu aliyejivalia kama mwana kondooo...'act you age babes',acha kutuaibisha!!!
ReplyDeletewewe unayeona Carola havai kama age yake unamatatizo yako!!kwani kila mtu ajiwekeweke tu kama mzee kwanini?dada Carola umebarikiwa sana dada yangu keep up a good job!!!!!!
ReplyDeleteAmah huyu aliyeanza kumnaga Carola na mavazi nani tena? Kila siku nikimwona Carola, mavazi yake hunivuta kweli, yalivyo ya heshima.
ReplyDeleteHuyu mwendawazimu anaesema Carola anamwaibisha, ni mkwe wake au? Wewe ni mama yake na John au?
Naomba wewe anony wa 3:58 mbona picha yako hujaweka hapa tuone hayo mavazi yako ya kondoo unayovaa kama kondoo?