mgahawa wa kidude upo maeneo ya mji kongwe hapa zenj na ni maarufu kwa wageni. ingawa mmiliki si bi. kidude mwenyewe lakini mwenye nao ameudediketi kwa bibi yetu huyu mashuhuri ambapo ndani utakuta picha zake zimepamba kuta na chakula cha hapo ni kizuri sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. michuzi kaka yangu je hako ka fulana unakafua halafu unavaa tena au ndio uko nazo nyingi au ndio unatundika tu kila siku!!!noma sana hiyo kaka yangu naomba ubadilishe mwezi huu!!!!!!ka!umezidisha mwenzetu.......

    ReplyDelete
  2. Michuzi umekaa na wazungu unaona sifaaa!!huwa hawaogi hao,maji mara moja kwa wiki tena wanakaa bafuni dakika mbili tuu..

    ReplyDelete
  3. michu unatalii zenji na wazungu sio.

    ReplyDelete
  4. inategemea wanaume wengi ni wasafi sana, na wanapenda mambo ya afya afya, kama diet.

    ReplyDelete
  5. Ze fulanaz... Unapaisha? Inamaana Michu hizo Tees unazo nyingi kama wanasiasa ambao wanajidai wanavaa suit moja kumbe wana10 kwenye wardrobe of the same color,quality etc au ni wewe ni kauka nikuvae..

    Kuna siku uliomba ridhaa ya kuchange profile foto uweke hiyo ya tee... Think we unanimously agreed that,lkn mzee unaipaisha Zenj na kwingineko,inamaana uliomba ridhaa kutuchora au?

    ReplyDelete
  6. Mgahawa sio wa Bi Kidude!
    Mwenye Mgahawa anatumia jina la Bi Kidude kupata umaarufu, Je Bi Kidude anapata chochote hapo? au ndio ile yakutaka kuchuma kwa umaarufu wa wengine?

    ReplyDelete
  7. hiyo fulana kauka nikuvae!!!

    ReplyDelete
  8. hao ukiwalisha mchanganyiko wa mende na maharagwe yaliyooza...watakusifu babu...ati DELICACY...hao sio wajanja ka mnyaturu au mmanga...ndio maana wamesonga mbele na sie bado 'DARK AGES'

    ReplyDelete
  9. I hope wanamkatia kitu kidogo bibi wa watu kwa kuuza na jina lake. Wampe hela jamani bibi wawatu aweze kuretire.

    Watu wanafaidika sana kwa mgongo wake huyu bibi...

    ReplyDelete
  10. Michu kaka nipe adress yako nikutumie tshirt nyengine ya mithtari jamani..ntahakikisha rangi zinakaribiana na hiyo..mana mmmmmmhhhh!!!1 ni sura yako hiyo Tshirt

    ReplyDelete
  11. OFISI YA UHAMIAJI INABIDI IANZISHE
    UTARATIBU WA KUWAPIMA VIRUSI VYA UKIMWI WATU WANAOINGIA INCHINI.
    NILAZIMA WAPIMWE MARA MOJA WANAPOINGIA INCHINI.

    INCHI ZINGINE WANAFANYA HIVYO HIVYO.
    BILA KUFANYA HIVYO NCHI YETU BILA KUPIMA HAITAWEZEKANA
    AHSANTE

    ReplyDelete
  12. Michuzi usifikiri kupiga picha na wazungu ni sifa, nenda kwao uone kama watakuomba upige picha nao..hiyo ilikuwa zamani kalumbu

    ReplyDelete
  13. nadhani kama wanakuona wa maana, hawawezi kukataa, wengine wanapenda watu weusi.

    ReplyDelete
  14. Michuzi nimeanza kuhisi labda hiyo fulana ndio inayoendesha blog hii. ni amri kutoka kwa BABU, ikiivua tu blog inakimbiwa, lakini powa andikaka namba yake ya simu ,nami nina mabiashara yangu hayaendi vizuri mpenzi, tafadhali.

    ReplyDelete
  15. franchaiz ya KIDUDE itaingiza pesa nyingi sana huyu mama AIFANYIE KAZI MAPEMA KABLA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...