Home
Unlabelled
mgahawa wa kidude
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi kaka yangu je hako ka fulana unakafua halafu unavaa tena au ndio uko nazo nyingi au ndio unatundika tu kila siku!!!noma sana hiyo kaka yangu naomba ubadilishe mwezi huu!!!!!!ka!umezidisha mwenzetu.......
ReplyDeleteMichuzi umekaa na wazungu unaona sifaaa!!huwa hawaogi hao,maji mara moja kwa wiki tena wanakaa bafuni dakika mbili tuu..
ReplyDeletemichu unatalii zenji na wazungu sio.
ReplyDeleteinategemea wanaume wengi ni wasafi sana, na wanapenda mambo ya afya afya, kama diet.
ReplyDeleteZe fulanaz... Unapaisha? Inamaana Michu hizo Tees unazo nyingi kama wanasiasa ambao wanajidai wanavaa suit moja kumbe wana10 kwenye wardrobe of the same color,quality etc au ni wewe ni kauka nikuvae..
ReplyDeleteKuna siku uliomba ridhaa ya kuchange profile foto uweke hiyo ya tee... Think we unanimously agreed that,lkn mzee unaipaisha Zenj na kwingineko,inamaana uliomba ridhaa kutuchora au?
Mgahawa sio wa Bi Kidude!
ReplyDeleteMwenye Mgahawa anatumia jina la Bi Kidude kupata umaarufu, Je Bi Kidude anapata chochote hapo? au ndio ile yakutaka kuchuma kwa umaarufu wa wengine?
hiyo fulana kauka nikuvae!!!
ReplyDeletehao ukiwalisha mchanganyiko wa mende na maharagwe yaliyooza...watakusifu babu...ati DELICACY...hao sio wajanja ka mnyaturu au mmanga...ndio maana wamesonga mbele na sie bado 'DARK AGES'
ReplyDeleteI hope wanamkatia kitu kidogo bibi wa watu kwa kuuza na jina lake. Wampe hela jamani bibi wawatu aweze kuretire.
ReplyDeleteWatu wanafaidika sana kwa mgongo wake huyu bibi...
Michu kaka nipe adress yako nikutumie tshirt nyengine ya mithtari jamani..ntahakikisha rangi zinakaribiana na hiyo..mana mmmmmmhhhh!!!1 ni sura yako hiyo Tshirt
ReplyDeleteOFISI YA UHAMIAJI INABIDI IANZISHE
ReplyDeleteUTARATIBU WA KUWAPIMA VIRUSI VYA UKIMWI WATU WANAOINGIA INCHINI.
NILAZIMA WAPIMWE MARA MOJA WANAPOINGIA INCHINI.
INCHI ZINGINE WANAFANYA HIVYO HIVYO.
BILA KUFANYA HIVYO NCHI YETU BILA KUPIMA HAITAWEZEKANA
AHSANTE
Michuzi usifikiri kupiga picha na wazungu ni sifa, nenda kwao uone kama watakuomba upige picha nao..hiyo ilikuwa zamani kalumbu
ReplyDeletenadhani kama wanakuona wa maana, hawawezi kukataa, wengine wanapenda watu weusi.
ReplyDeleteMichuzi nimeanza kuhisi labda hiyo fulana ndio inayoendesha blog hii. ni amri kutoka kwa BABU, ikiivua tu blog inakimbiwa, lakini powa andikaka namba yake ya simu ,nami nina mabiashara yangu hayaendi vizuri mpenzi, tafadhali.
ReplyDeletefranchaiz ya KIDUDE itaingiza pesa nyingi sana huyu mama AIFANYIE KAZI MAPEMA KABLA
ReplyDelete