Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. haya haya tena shurti ya kanga ipate mvaaji !!! Michuu nawee huyu mwana dada sista usikute "mai waifu" wa mtu una maana gani kum-snap hivyo !! ulikuwa umemtolea kijicho nini ?? shauri zako usifanye ukapigwa ngumi huko uvimbe jicho ushindwe kutupigia picha na kutuletea habari sie tukose mamboz !kumradhi sana bwana be careful! Anyway mama umefanya la maana mana huyo bwana kichaa ni wa kumkalia tuu !! ......haha!

    ReplyDelete
  2. Ingekua bora kama viongozi wetu bongo wangekua wanatumia akili angalau kidogo nchi yetu ingepata maendeleo makubwa. Pesa iliotumiwa kununua makanga na mavitenge yote haya ingetosha kununua ambulance halisi (sio Bajaj). Hivi ngoja niulize swali moja... Muungwana alivoenda US mara kadhaa wenyeji wake walimwandalia angalau dinner? The answer is NO

    ReplyDelete
  3. hahahaaaa hio sasa sio adabu! prezidaa wanamuweka kwenye wowowo

    ReplyDelete
  4. haki huyu dada nimempenda kwa nyuma

    ReplyDelete
  5. Siamini kama huyu mama anajua maana ya maandishi kwenye kanga. Akija nyumbani kwako si utaachika au huna mme ndio unamkaribisha. Una bahati angekuwa Clinton ange ku monica.

    ReplyDelete
  6. Du! nimeona hiyo kanga, na mfungo wake, nikakumbuka zile za zamani zilizokuwa zimechorwa na kuandikwa: "Hapa ndipo palipo zaliwa Azimio la Arusha" Hii nayo imeandikwe: "Karibu Mgeni wetu Rais Bush". Duu! akaribie nini ?? ?? ??

    ReplyDelete
  7. Doh! kweli taarabu ipo!!! c mchezo.

    ReplyDelete
  8. Dada kafungasha balaa.Bush akiiona si anaeza vunja ndoa ya Laura?

    ReplyDelete
  9. Mjambie kabisa

    ReplyDelete
  10. Duu Bush katulia kwenye tako la huyo dada!!khanga nzuri sana..karibu bush tanzania

    ReplyDelete
  11. Michuzi,

    Nimecheka kweli. Kwenye Fox News mtangazaji alikuwa anacheka kasema, "People were wearing clothing with his (Bush's) picture on it" nikajua ni hizi khanga.

    Nimeonyesha watu hiyo picha wanashangaa kuona picha ya mtu kwenye matako. Wanaona kama matusi. Nikawaambia, mboan kwetu ni sifa. Walisema, 'You guys dress wierd!" Hawaelewi utamaduni wetu wa khanga.

    ReplyDelete
  12. Kweli huyu mdada kajaza wowowoo kisawa sawa. Ungekuwa uwanja wa ndege kumpokea huenda Bw. Pori (Bush) angeku-date.Tazama alivyomshika mama wa kwanza wa tz. angalia konoozi lake la kulia lilipo katika gazeti la mwananchi

    ReplyDelete
  13. tena katia kichwa katikati

    ReplyDelete
  14. Danm,duu dada huyo ana mgongo siyo mchezo!!

    ReplyDelete
  15. Bro misupu mimi sitaki kumuangalia bush manake kaziba utamu hauonekani fresh ila yule dada aliyesimama mlangoni mi ndio nampimia nipe tigo zake basi.najua hii picha uliisnep sababu ya yule sister

    ReplyDelete
  16. walahi toba!!!we mama we mbona unahatari?mali zote mr bush tu,nimwagie razi na mimi.Mlalahoi

    ReplyDelete
  17. huo sasa umbea sasa ! alokwambia bush anataka mambo hayo nani we dada hebu rudi uswahilini huku utuletee kisamvu cha kopo hicho hehehehe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...