Home
Unlabelled
mgeni karibu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haya haya tena shurti ya kanga ipate mvaaji !!! Michuu nawee huyu mwana dada sista usikute "mai waifu" wa mtu una maana gani kum-snap hivyo !! ulikuwa umemtolea kijicho nini ?? shauri zako usifanye ukapigwa ngumi huko uvimbe jicho ushindwe kutupigia picha na kutuletea habari sie tukose mamboz !kumradhi sana bwana be careful! Anyway mama umefanya la maana mana huyo bwana kichaa ni wa kumkalia tuu !! ......haha!
ReplyDeleteIngekua bora kama viongozi wetu bongo wangekua wanatumia akili angalau kidogo nchi yetu ingepata maendeleo makubwa. Pesa iliotumiwa kununua makanga na mavitenge yote haya ingetosha kununua ambulance halisi (sio Bajaj). Hivi ngoja niulize swali moja... Muungwana alivoenda US mara kadhaa wenyeji wake walimwandalia angalau dinner? The answer is NO
ReplyDeletehahahaaaa hio sasa sio adabu! prezidaa wanamuweka kwenye wowowo
ReplyDeletehaki huyu dada nimempenda kwa nyuma
ReplyDeleteSiamini kama huyu mama anajua maana ya maandishi kwenye kanga. Akija nyumbani kwako si utaachika au huna mme ndio unamkaribisha. Una bahati angekuwa Clinton ange ku monica.
ReplyDeleteDu! nimeona hiyo kanga, na mfungo wake, nikakumbuka zile za zamani zilizokuwa zimechorwa na kuandikwa: "Hapa ndipo palipo zaliwa Azimio la Arusha" Hii nayo imeandikwe: "Karibu Mgeni wetu Rais Bush". Duu! akaribie nini ?? ?? ??
ReplyDeleteDoh! kweli taarabu ipo!!! c mchezo.
ReplyDeleteDada kafungasha balaa.Bush akiiona si anaeza vunja ndoa ya Laura?
ReplyDeleteMjambie kabisa
ReplyDeleteDuu Bush katulia kwenye tako la huyo dada!!khanga nzuri sana..karibu bush tanzania
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNimecheka kweli. Kwenye Fox News mtangazaji alikuwa anacheka kasema, "People were wearing clothing with his (Bush's) picture on it" nikajua ni hizi khanga.
Nimeonyesha watu hiyo picha wanashangaa kuona picha ya mtu kwenye matako. Wanaona kama matusi. Nikawaambia, mboan kwetu ni sifa. Walisema, 'You guys dress wierd!" Hawaelewi utamaduni wetu wa khanga.
Kweli huyu mdada kajaza wowowoo kisawa sawa. Ungekuwa uwanja wa ndege kumpokea huenda Bw. Pori (Bush) angeku-date.Tazama alivyomshika mama wa kwanza wa tz. angalia konoozi lake la kulia lilipo katika gazeti la mwananchi
ReplyDeletetena katia kichwa katikati
ReplyDeleteDanm,duu dada huyo ana mgongo siyo mchezo!!
ReplyDeleteBro misupu mimi sitaki kumuangalia bush manake kaziba utamu hauonekani fresh ila yule dada aliyesimama mlangoni mi ndio nampimia nipe tigo zake basi.najua hii picha uliisnep sababu ya yule sister
ReplyDeletewalahi toba!!!we mama we mbona unahatari?mali zote mr bush tu,nimwagie razi na mimi.Mlalahoi
ReplyDeletehuo sasa umbea sasa ! alokwambia bush anataka mambo hayo nani we dada hebu rudi uswahilini huku utuletee kisamvu cha kopo hicho hehehehe
ReplyDelete