je, wanaume ni wadadisi sana ama tuna tamaa sana?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Hahahahaha..duh.
    sisemi..nasubiri comments zenu wadau.




    MWTYM

    ReplyDelete
  2. URICHMOND TU...!! WIZI..ANAANGALIA NAMNA YA KUINYAKUA HAPO..KAMA IMEUNGANISHWA KWENYE ALARM AU VIPI...!!

    ReplyDelete
  3. maskini huyu bingwa kachanganyikiwa.anafikiri huko nyuma ataona vitu laivu!!!!

    ReplyDelete
  4. Obey your thirst.....

    ndio kitu huyo mdingi anafanya, uzalendo umemshinda

    ReplyDelete
  5. Uzinzi tu huyu! Kaona huku nyuma bwerere akatamani aone na kule mbele! Jamani!

    ReplyDelete
  6. Ni kweli kaka haya mambo yalikuwepo hata kabla ya zamani(namanisha hata kabla mungu hajamuumba binadamu alikuwa ameshajua udhaifu wetu katika mambo fulani). Hapa inaonyesha huyu mzee anataka kuona kilichobebwa huko alikogeuka huyu dada

    ReplyDelete
  7. Hiki kibabu kinadhani eti huyo mtu katika hiyo picha maziwa yake yametokeza kwa huko nyuma...vibabu vingine bwana!!

    ReplyDelete
  8. Tamaa za mzee fisi tu hizo

    ReplyDelete
  9. HII NI TAMAA, KASHA ONA MBELE MWANAMKE YUKO NUSU UCHI,KWA AKILI ZA WANAUME KAONA NA NYUMA YA PICHA KUTAKUA NA MAMBO ZAIDI BUT TO HIS DISAPPOINTMENT,YANI VIUMBE NYINYI MTAKUFA KWA TAMAA.HUYU BABU ANGEWEZA KUANGUKIWA NA HIYO PICHA KWA KUTAKA KUHAKIKISHA.LOOOOOOO!!

    ReplyDelete
  10. Huyu jamaa mtundu anaangalia upande wa pili labda hiyo picha labda ataona nanihii.

    ReplyDelete
  11. Wabongo hebu acheni ujinga na kuigeuza kila maana into 'sexual connotation',huyo mzee ni mahiri na anajua thamani halisi la hilo picha...ndio maana hao wameendelea na sisi bado wavuta mkia tuu!!!njaaa tu jamani!

    ReplyDelete
  12. huyu mzee sio kwamba anacheki kama anaweza kuona uchi wa hiyo picha, anaangalia kama kuna uwezekano wa kuiba akaweke chumbani kwake, kwa ajili ya kujipa raha mwenyewe!

    ReplyDelete
  13. anataka kuangalia authenticity ya hiyo picha hizi picha kama za mona lisa unaweza ukaingizwa mjini na mabilioni yako yakutoke...hao collectors wanajua wapi pa kuangalia ku tell the truth

    ReplyDelete
  14. well well well!!!. the fact is he owns the house, and wanted to see if the picture was puting any mark on the wall. just incase he has to sell the house. tx

    ReplyDelete
  15. Mweee! Wazee wa kizungu bado wamo kumbe! Ona hii skandali ya mgombea raisi wa Marekani John McCain. Kibabu kina miaka 71 na ana mpenzi wa miaka 40! Hapo anakumbuka ujana wake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...