Home
Unlabelled
udadisi ama tamaa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahahahaha..duh.
ReplyDeletesisemi..nasubiri comments zenu wadau.
MWTYM
URICHMOND TU...!! WIZI..ANAANGALIA NAMNA YA KUINYAKUA HAPO..KAMA IMEUNGANISHWA KWENYE ALARM AU VIPI...!!
ReplyDeletemaskini huyu bingwa kachanganyikiwa.anafikiri huko nyuma ataona vitu laivu!!!!
ReplyDeleteObey your thirst.....
ReplyDeletendio kitu huyo mdingi anafanya, uzalendo umemshinda
Uzinzi tu huyu! Kaona huku nyuma bwerere akatamani aone na kule mbele! Jamani!
ReplyDeleteNi kweli kaka haya mambo yalikuwepo hata kabla ya zamani(namanisha hata kabla mungu hajamuumba binadamu alikuwa ameshajua udhaifu wetu katika mambo fulani). Hapa inaonyesha huyu mzee anataka kuona kilichobebwa huko alikogeuka huyu dada
ReplyDeleteHiki kibabu kinadhani eti huyo mtu katika hiyo picha maziwa yake yametokeza kwa huko nyuma...vibabu vingine bwana!!
ReplyDeleteTamaa za mzee fisi tu hizo
ReplyDeleteHII NI TAMAA, KASHA ONA MBELE MWANAMKE YUKO NUSU UCHI,KWA AKILI ZA WANAUME KAONA NA NYUMA YA PICHA KUTAKUA NA MAMBO ZAIDI BUT TO HIS DISAPPOINTMENT,YANI VIUMBE NYINYI MTAKUFA KWA TAMAA.HUYU BABU ANGEWEZA KUANGUKIWA NA HIYO PICHA KWA KUTAKA KUHAKIKISHA.LOOOOOOO!!
ReplyDeleteHuyu jamaa mtundu anaangalia upande wa pili labda hiyo picha labda ataona nanihii.
ReplyDeleteWabongo hebu acheni ujinga na kuigeuza kila maana into 'sexual connotation',huyo mzee ni mahiri na anajua thamani halisi la hilo picha...ndio maana hao wameendelea na sisi bado wavuta mkia tuu!!!njaaa tu jamani!
ReplyDeletehuyu mzee sio kwamba anacheki kama anaweza kuona uchi wa hiyo picha, anaangalia kama kuna uwezekano wa kuiba akaweke chumbani kwake, kwa ajili ya kujipa raha mwenyewe!
ReplyDeleteanataka kuangalia authenticity ya hiyo picha hizi picha kama za mona lisa unaweza ukaingizwa mjini na mabilioni yako yakutoke...hao collectors wanajua wapi pa kuangalia ku tell the truth
ReplyDeletewell well well!!!. the fact is he owns the house, and wanted to see if the picture was puting any mark on the wall. just incase he has to sell the house. tx
ReplyDeleteMweee! Wazee wa kizungu bado wamo kumbe! Ona hii skandali ya mgombea raisi wa Marekani John McCain. Kibabu kina miaka 71 na ana mpenzi wa miaka 40! Hapo anakumbuka ujana wake.
ReplyDelete