Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisubiri kuapishwa kwenye ikulu ya Chamwino mjini Dodoma jana. Wengine kutoka kulia ni Makamu wa Rais, Dr. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar, Amani Karume, Waziri Kiongozi wa Zanzibar,Shamsi Nahodha , Spika wa Bunge, Samwel Sitta, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Johnson Mwanyika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Sio waziri mkuu aliyestaafu muheshimiwa Michuzi, sema Waziri mkuu aliyejiuzuru. Narudia tena kusema amestaafu nikumpatia heshima ya nishani.

    ReplyDelete
  2. Huyu Pinda sio mchezo, kwanza yeye mwenye Kapinda, pili hacheki, tatu amekaa mkao wa hasira kama mwanajeshi...safari hii iko kazi

    ReplyDelete
  3. mwambieni waziri mkuu mpya awe comfortable tupo naye pamoja

    ReplyDelete
  4. HUYU SIO WAZIRI MKUU MSTAAFU, WAZIRI MKUU ALIFUKUZWA, ILA KUPPOZA TUNASEMA AMEJIUZULU. JK ALIMWAMBIA JIUZULU KBLA SIJAKUTIMUA IWE AIBU. UKISEMA WAZIRI MKUU MSTAAFU INA MAANA BALALLI NI GAVANA MSTAAFU

    ReplyDelete
  5. We michuzi vipi? Huyo ni waziri mkuu mjiuzuru! Kha... mbona wamgea heshima kubwa?

    ReplyDelete
  6. Nina maswali mawili kuhusu Waziri mkuu aliye jiuzulu.

    1.Anatafuta nini hapo kwenye hiyo sherehe wakati yeye siyo waziri Mkuu.
    2. kwanini asiachie ngazi ya Ubunge? wakati ameshindwa kuwawakilisha wananchi wa jimbo lake.

    ReplyDelete
  7. Ndio, ni waziri mkuu aliyestaafu kw manufaa ya umma!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Huyu Lowasa amekaa hapo kama hapo kama nani?

    ReplyDelete
  9. Huyu mtu aachwe kuitwa Waziri Mkuu Mstaafu, anapaswa kuitwa Edward Lowassa, basi! Na kafuata nini hapo? Michuzi tusiivunjie nchi heshima, mtuhumiwa hawezi kutukuzwa.

    ReplyDelete
  10. Mh. Peter Kayaanza Mizengwe isiyo Pinda.

    Yaani Mkuu, kweli you look like a 'mean machine' with little tolerance for nonesense!

    Tunakutakia kila la kheri kwenye wadhifa wako mpya.

    ReplyDelete
  11. JAMANI NDUGU NA WASOMAJI WA BLOG HII, SIMTUKANI MICHUZI WALA SISEMI KWA NIA MBAYA.
    HUYU JAMAA KISWAHILI NOT RICHABO KING'ENG'E NOT TACHABO. KWA HIYO HATA MKIJITAHIDI VIPI KUMSAHIHISHA MNAPOTEZA MUDA WENU BURE.
    UKITAKA KUJUA UKWELI HALISI WA KICHWA MAJI CHA HUYU JAMAA, NENDA KAMUULIZE MWALIMU WAKE WA KISWAHILI NA KIINGEREZA (LUGHA) WA SHULE YA MSINGI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...