Home
Unlabelled
zavara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka zavara tupo pamoja na wewe katika harakati,najua unafanya kazi kubwa na muhimu mno ambayo unathamini heshima sana,ila pia naomba tarehe 10 mya kila mwaka tumkumbuke D-rob kwa tamasha we unaionaje hii? ndugu yo pa-1 toka bara la asia hapa kwa Gandhi
ReplyDeleteIdea hiyo ni nzuri sana kwa wale wanaojua mziki wa kusomesha ndugu zetu watanzania wanaelewa kuwa kaka yetu Zavara na KWANZA UNIT,ndio waliofungulia BONGOFLAVA milango..naona amevaa WAPI,the movement is on,lazima tutapata mafanikio mengi nyumbani,"the best is yet to come"
ReplyDeleteKwani jina la Rhymson lilikufaga,
ReplyDeletekama vipi poa tu, hata hilo linafaa,
najua we ni mwanamapinduzi, unataka jina lifanane na Che Guevara, nayo imekaa vizuri tu