Majaji Damian Lubuva, John Mroso na Mbarouk S. Mbarouk wamefuta hukumu ya miaka mitatu jela iliyotolewa mwaka 2005 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Salaam na baadaye kuthibitishwa na Mahakama Kuu.
Imebainika kuwa hakukuwa na vielelezo vya kutosha kuonyesha kuwa Rage alitenda kosa alilohukumiwa nalo. Wakati wa kusikiliza rufaa hiyo, mwendesha mashitaka alikiri kuwa hatia aliyokutwa nayo Rage kutokana na makosa mawili haikuwa sahihi.
Makosa aliyokuwa akikabiliwa nayo ni yanayomhusisha kuiba Sh milioni 1 kutoka Salvation Army ya jijini Dar es Salaam ambako timu ya Taifa iliweka kambi kwa ajili ya maandalizi na michezo ya kimataifa na Sh 400,000 alizodaiwa kuwalipa posho wachezaji. Habari kamili bofya hapa
Hongera Bw. Rage. Wadau ninauliza, ile nafasi aliyokuwa nayo TFF ya makamu wa pili wa rais anarudishiwa automatically au zengwe jingine linaanza maana wakati rufaa yake inasuburi kusikilizwa katiba ya TFF ilibadilishwa ki-aina(bila shaka ikilenga baadhi ya watu) na inawezekana hata yeye ikamtupa nje. Wadau mnasemje?
ReplyDeleteHongera sana Adeni Rage kwa kuthibitisha uma kwamba wewe ni msafi na hayo yalikuwa matope tu yakichafua suti sasa hiyo suti haku nayo,
ReplyDeleteMe kwakweli nimefurahi na nilikuwa na hamu kubwa sana ungekuwepo tena pale TFF kwani naoana kweli panalegalega sana eti uwanja ukijaa maji mchezo hakuna hivi kweli tuna kiwanja kimoja hata Tanzania? Basi ujuwe kiutendaji hapo TFF wamechemsha mambo kama hayo wakati wako yalikuwa hakuna.
Natamani Rage arudi tena TFF kwa sababu ni nyingi kwani kweli yeye administrative mzuri wa mpira wa miguu. Kweli angekuwepo kwa kipindi hiki chote tungekwenda cup of nation kwa yeye anajuwa fitina, mbinu kubwa sana za mpira wa miguu na kama unavyojuwa kwa kipindi chote Taifa Stars imepata wadhamini wa uhakika sana tatizo bado liko kwenye management ya mpira wa Tanazania .
Ulivyotoka mahakamani ulisema umezaliwa upya sasa twende kazi baba .
HONGERA SANA RAGE
Rage alionewa kwanini kwa nini aliyekuwa mwenyekiti wa FAT wakati huo (Muhidini Ndolanga) hakufungwa yeye?
ReplyDelete(mbarikiwa@gmail.com)
Kwa ufupi wanataka kutuambia alifungwa kimakosa?? etehehhe BONGO bwana....sasa Rage anaruhusiwa kudai fidia, cz amechafulia na kupotezewa muda siyo? TFF wamesema wanamjadili cz bado wanahisi harufu ya ufisaidi na hawataki kujiaribia
ReplyDeleteHATA HUYO RAGE NAYE ANGEPEWA NAFASI YA KURUDISHA PESA KIMYA KIMYA (EPA).TENA HAWA SIO WA KUFUNGA BALI NI WAKUNYONGA PALE MNAZI MMOJA.RAGE "NEVER TRUST ANY ONE IN YOUR LIFE" That's my free advice.
ReplyDeleteHuyu kosa lake kubwa ni kutaka ukingia kwenye siasa. SIASA NI VISA NA MIKASA!
ReplyDeleteKwakua Dito ni mwislam mwenzio ndio maana unabania point yangu? Ama unapewa bakshishi na Dito kwaiyo unaona ukiweka hii point utaiweka bakshishi yako katika nafasi mbaya? Wewe Michuzi ni FISADI pia!!!!
ReplyDeleteNilisema Tusishangae tukisikia na Dito anafutiwa mashitaka then wewe ukaibania point.
Acha UFISADI bwana Michuzi.
WE michuzi una mkataba gani na Rage?? maoni yote yanayomkandia huyaweki au na wewe alikugawia nini?? Au na wewe fisadi?? Tuambiane basi!
ReplyDelete