Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. michuzi mie ni dada niko hapa norway..kwa kweli nampenda sana dada jay dee,ningependa kuwa na contct nae,kama unaweza kunipa simu yake ningefurahi sana,,namkumbuka sana kwa wimbo wake wanaumme kama mabinti!!

    ReplyDelete
  2. michuzi unataka hongo??nimekutumia picha za maonyesho hapa norway ukuweka hewani,nimekutumia picha za mlima mkubwa hapa norway ukuweka hewani pia,,,hivi michuzi unajua hii baridi iliyoko hapa ulaya kweli?mie natoka nje kupiga picha kutuma kwenye blog yetu tuipendayo..weka hizo picha bwana

    ReplyDelete
  3. Milima ya Norway ya nini wewe! Embu lete RichMond hapa! Au ndo zile zile zetu za wabongo za ZIMAMOTO???

    ReplyDelete
  4. una picha ya live ya hiyo group. Kuna msichana hapo pembeni kwa hiyo picha ni mzuri sana mbona yeye hajaingia kwenye face of africa

    ReplyDelete
  5. Wow!!!!!!! Ndio maana hamuishi kuserebuka huko kila siku. Kiingilio shilling 5000 tu!!!!!! Sasa kweli wasanii wataendelea kwa mtajii huu.

    ReplyDelete
  6. Kiingilio tsh 5,000 ni saw na USD 5.00..My thing is how come wakiwa wanakuja huku mabara ya Ulaya tunatozwa more that that..utakuta tunaambiw akiingilio dola 25.00,that means tunaliwa sana huku.

    ReplyDelete
  7. wanawatoza dola 25 sababu mnaenda watu 10 tu kwenye onyesho, wakati wakiwa dar wakitoza dola 5, raia 1000 wanakwenda kwenye tamasha lao!

    ReplyDelete
  8. US$ 25 mbona cheap! Lazima mlipie na nauli yake pia. haji kwa daladala.

    ReplyDelete
  9. HONGERA DADA MKATABA WAKO NA WACHINA ..UNASHAMIRI..

    ReplyDelete
  10. ANAJITAHIDI SANA LAKINI HATENGENEZI $1500.00 KWA USIKU MMOJA HAPO BONGO MUULIZE ALITENGENEZA CHICAGO. ALIALIKWA AKALIPIWA NAULI YA KWENDA NA KURUDI.

    ReplyDelete
  11. Kaka Issa,
    Mimi ni mdau wa kudumu wa blog yako ninayeishi nje ya nchi..nina ombi uniwekee picha ya nyumba ya lady JAY DEE na sisi tulioko huku nje tusafishe macho..tunasikia tu kuwa imetolewa kwenye magazeti na ni baabkubwa.
    Maana hata ya Marehemu AC na Mpakanjia ulituwekeaga kipindi kile bado blog yako haijapata international status.
    Basi nasi usitunyime uhondo huo.
    Pleasee.

    Thanks in advance

    ReplyDelete
  12. Wabongo bwana ilimradi tu mtu atoe comment hata isipokuwa na maana ilimradi. Sasa elfu tano ya tz utafananisha kweli na $25 si ubaya huo. Na nyie kabisa mnataka kulipa $5 wasanii wakija huko kwenu? Bwana tuwainue wasanii tuache mambo ya viinglio. Bongo watu hawana uwezo wakulipa $25 kutokana na hali ya maisha na hilo tunalielewa.

    ReplyDelete
  13. Wee Friday, March 7, 2008 7:14:00 AM EAT....acha kufagiliya kivuli.Nani kakwambia akija anajilipia nauli?.Alikuja Chicago kalipiwa kila kitu kuanzia cost yake ya kuchukua visa mpaka Nauli yake na $1500.00 juu matokeo yake kaja kuchemsha tuu huku.

    Hivi kwa nini hawa artist wa kibongo once wakifika marekani waaanza kuleta nyodo zao lakini wakiwa bongo wana represent kama ifuatavyo?.

    ReplyDelete
  14. michuzi wasichana wenye wivu utawajua kuonea wenzao wivu, mtu akifanikiwa wanakufwata kukutafuta ugomvi ndio maana hatuendelei acheni umbeya wabongo.

    ReplyDelete
  15. we hapo juu umbea wewe hapo unaeropoka vitu hujui watu wanaongea ukweli hapa.sasa wivu uko wapi hapa..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...