Home
Unlabelled
katambugazzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi ufisadi huanza hivyo hivyo pea tatu za nini? maana hizo katambuga hazitofautishwi kwa style kama nguo au viatu vya aina nyingine na kwa jinsi katambuga zinavyodumu ni sahihi kutumia ule msemo "alinunua babu na mjukuu anatumia"
ReplyDeleteEbwana hiyo ndo bana matumizi haswa hii, manake MGUU NAKUFA KIATU NABAKI.......
ReplyDeleteZidumu katambuga...!!!!
HAYA MARAIYOO YAMETUTOA SANA MIAKA HIYO HASA ULEWAKATI AMBAO HUWEZI KUPATA RABA ZA ASANTE NYERERE KWAKUWA SIO ALAIKI.KIPINDIHICHO RABA IKIISHA JUU SOLI INACHUKULIWA INASHONESHWA MIKANDA YA TAIRI HILO INA KUWA MALAPA UNAANZA KUFLIP FLOP NAYO MTAANI. SOLI YA KIATU IKIISHA ILIKUWA INATUSONGESHA.LAKINI BADO NI MKOMBOZI YA WATU WENGI . HONGERA MKOMBOZI WETU. BADO WATANZANIA WENGI HATUWEZI KUMUDA GHARAMA YA MAKATAMBUGA HAYA TUTASAIDIANAJE TUMUDU MAMBO HAYA. WACHUMI JAMANI MSAADA.
ReplyDeleteMungu nisamehee sio na kejeri sikujua kama hivi viatu bado vipo kwenye huu ulimwengu kweli.sasa kweli Tanzania bado ipo kwenye hali ya vita ya pili ya dunia du.ANON March 3, 2008 7:05:00 umenichekesha sana
ReplyDeleteNyerere angekua hai,wote tungevaa mipira tairi hizo...na baada ya kuvaa siku nzima,jioni harufu hatari kwani hata ukisfisha miguu na chapa mbuni harufu mpaka wiki ijayo!!!
ReplyDeleteHayo ni poa kwa kubana matumizi,Nitumie na mimi pea mbili
ReplyDeleteHaya ni mazuri sana tu. Kibaya ni sisi wenyewe hatujui kuwa creative. Tungeyauza mpaka soko la duni haya ila tu hatujajua cha kufanya yasiunguze miguu wakati wa jua. Jua la bongo utakuta mtu anashika viatu mkononi yuko radhi atembee pekupeku kwa vile hayo makatambuga sio raha tena yanakua tabu miguuni.
ReplyDeleteBongo hivi vitu kama bado vipo basi bongo tambarare saana tu
BONGO TAMBATAREEEEEE
ReplyDeleteanon wa mar 3, 8:03 na mar 4, 1:31
ReplyDeleteyaelekea hii kitu munaifahamu vilivyo sana, ila kitu kimoja nawausia kuwa dau limewavusha sasa limekua gogo?. Poa tuu pamoja na yote bado bongo tambarare kwa sanaaaa.
viatu vinanikumbusha baba wa taifa, na sera zake za umasikini! baba wa taifa akirudi sasa hivi atashangaa kuona mafisadi wanavyotanua bila wasi wasi wala nini tena kwa kutumia madaraka waliyonayo! itabidi ahutubie kama siku mbili hivi
ReplyDeletekisha aombe kurudi alikotoka! kwa jinsi watu wasivyosikia na huo ufisadi
Michuzi tumekustukia! kumbe na wewe una tabia ya kujilimbikia mali kama mafisadi! Sasa pea tatu zote za nini? Tuna mpango wa kukuundia tume! Te te tehhh!
ReplyDeleteHizo katambuga ndo vilikuwa viatu! Mtu anaenda kazini/ofisini na katambuga chini! Kabla mitumba/kafa Ulaya hazijaruhusiwa. Enzi za Mwalimu bwana! halafu mguu unakuwa mweusi!
ReplyDeletemi namwonea huruma mchizi anayetengeneza anaonekana hajapata shawa siku kadhaa sio kwa kutaka bali hali ngumu ya maisha, bongo noma
ReplyDeleteDuh nayakumbuka maraiyoo sana.....
ReplyDeleteHayo ukivaa lazima utoke magamba (sagambazzzz). Sasa enzi hizo ukiwa na vile viatu vya plastiki au baadae raba za DH na njumu za maradona ambazo zishaanza kuisha baada ya kwendea church kwa miezi sita, inabidi uzipige kwa muda mguu ulainike tena na sagamba ziishe then ndo urudi kwenye araiyoo.
Michuzi ungetuambia yanapatikana wapi maana nimeyamiss sana....
Kaka Michu!
ReplyDeleteKweli hii ndiyo wale wakerewe wanaita recyclingi. Ila sasa hii ni kali na inalewesha kaka, maana gari limeshindwa kutumia ambalo linavesha chuma halafu mwili wa binadanu unavaa. Kweli inabidi tuangaliye kama haiwezi kuleta madhara kwa matumizi ya binadamu. Ila bora hilo kuliko kuchomwa na msumari au mwiba ukafa na Tetanasi kaka. Ningeshauri jamaa awe na website ili tuwe tunatoa oda kupitiya mtandao kaka.
Naomba kuwasilisha
Mdau Mshongosho
Michu,haya madude bomba sana.Ukivaa kama vibaka wanakutafuta hawawezi jua umeelekea wapi,unaweza hata kumpoteza bosi kama umetoroka kazini,harafu hayaishi.Wahindi wanasema "iko isha miguu kiatu bado"
ReplyDeleteMdau,
Mbeya.
Hizi mimi ninazo hapa marekani sama ikifika tambarare kwa sana na miguu yangu myeupe pye nawatia kizungu zungu tu wadau.Msikonde kwenu ni kwenu tu
ReplyDelete