mdau adil ilyas wa kampuni ya teknolojia ya mawasiliano na habari (teknohama) ya Infinity Communications Ltd akihojiwa na mtangazji wa redio ya ujerumani abubakar liongo kwenye maonesho ya teknohama huko hannover katika maonesho ya cebit ambayo habari zake ziko hapa www.cebit.de

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kweli ulaya kuzuri, Abou mpaka sauti imeiva. Fanya kazi bro achana na wale wafitini waliokuwa wanaendekeza fitna zisizo na msingi

    ReplyDelete
  2. mjomba naona unachangia hoja mwenyewe. haya bwana limbukeni hajikisi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...