Home
Unlabelled
mashine za pesa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Utasemaje kila mahali halafu eti ni chache? Kiswahili kigumu!!
ReplyDeleteAnony wa hapo juu, Kiswahili sio kigumu ila uelewa wa binaadamu wengine ndio mgumu! Unataka maelezo yaandikwe meeeengi ndio uelewe michu anamaanisha nini?
ReplyDeleteNdio, atm machines sasa ziko kila mahali bongo, ila tu ni chache, meaning kwamba maeneo kama kariakoo tandamti unakuta mashine moja, kariakoo, swahili mashine moja, n.k kwa maeneo mengine.
Wapi ni bora kupanga foleni ,ndani ya benki au nje ikiwa swala lenyewe ni kuchukuwa au kuweka pesa zako tu???????
ReplyDeleteUsemi huo ni sawa na ule wanaouimba kila siku kuwa bongo tambarare wakati asilimia 80% ya wananchi wanaishi kwenye umasikini... and so is this, ATM kila mahali halafu ni chache jamani wabongo tu-wake up and act up!! ...what the heck!!
ReplyDeleteMichu,
ReplyDeleteNadhani adha ya kuchukua pesa Bongo bado ipo palepale kutokana na bonge la foleni. Pia usalama ni mdogo maana hapo nje sidhani CCTV camera inaweza kuchukua kiwingu chote cha watu ktk foleni ya wateja barabarani ,hivyo Benki haiwajibiki vizuri. Hii ni janja ya mabenki kupunguza gharama za uendeshaji kwa kutumia sehemu ndogo za ofisi zake, kuepuka gharama za ulinzi wa wateja na pia kutumia wafanyakazi wachache wa benki ktk sehemu kiduchu(finyu) za matawi yake. Hivyo customer care imepunguzwa kwa kiini macho cha cash machine.
Mdau
London
Kweli Kiswahili kigumu.
ReplyDeleteKweli tunaona "Utambarare" wa bongo,pesa yako lakini mmhhh!
Mambo mazuri, zinatusaidia sana sana ingawa ATM ziko chache.
ReplyDeleteMashine hizo zimeundwa kurahishisha uchukuaji wa fedha lakini hio picha inaleta message tofauti ni sawa kabisa na kugumisha uchukuaji wa ´fedha .
ReplyDeleteBongo Tambarareee! Mashine kila sehemu ila ni chache!
ReplyDeleteMichuzi una makusudi wewe....najua hapa umewapa wabeba boksi cha kusema..uwwiiiii, mpaka naogopa. Anyways, bongo tambarareeeeeeeee
ReplyDeletehehehehehhe jibu zuri!
ReplyDeleteKwa TZ bado ATM hazijaleta tija, nafikiri haya mabanks yatilie mkazo sehem nyingi za huduma tuwe tunatumia kadi, haya mambo ya foleni ni kimeo...mimi mwenyewe huwa naibuka usiku kidooogo ndo kunakuwa shwari
ReplyDeleteEti Bongo Tambarare!!!!!Mambo mengine yanaanzishwa hapa Bongo bila utafiti wa kutosha!Sasa hapo kunatofauti gani na ilivyokuwa hapo mwanzo mtu akisubiri kuhudumiwa na karani wa Benki?kweli Bongo tambarare na hakuna haraka watu wanasubira yakutosha kuendelea kungoja katika mstari.
ReplyDeleteBongo tambarare ndiyo maana hakuna foleni katika kununua Bia kwani Baa zipo zakutosha mpka vichochoroni!Kwanini hizo ATM zisitawanywe kama BAA? Duuuu Bora nyie wabeba mabox huko hakuna foleni kama hizi za bongo.
Picha hizo zitakuwa zimepigwa mwisho wa mwezi wakati wadau wakichota yale mambo yetu ya mwisho wa mwezi. vinginevyo mishahara ikiisha na foleni hakuna.
ReplyDeleteebana eeh mbona huu mnyororo ni mrefu namna hii.Kama ATM zingekuwa kila mahali isingekuwa hivi.Halafu mbona watu wako karibu karibu namna hii, haya ndiyo yale mambo ya kuibiana PIN numbers kisha unapigwa ngeta(kabali) unanyang'anywa kikadi chako.
ReplyDeleteKwa foleni hiyo kama ya miaka ya 80ya kununua sukari, hapana shaka mashine hizo zipo chache mno
ReplyDeleteTunaweza kwa Upande mmoja tukawalaumu wamiliki, ila kwa upande mwingine watumiaji nasisi tuchukue lawama zetu kwa sababu kuu 2 kwa maoni yangu binafsi ni
ReplyDelete1. Watanzania wengi hawana elimu ya kutosha ya matumiaji ya hizi ATM, mtu mmoja anaweza akachukua zaidi ya dk5. badala ya sekunde zisizozidi 30 kutoa fedha
2. Watu wengi hutumia Account hiz kuingizia mishahara yao, hivyo misho wa mwezi ni lazima foleni kubwa kama hii.
hebu fanya uchunguzi tarehe 17 hadi tarehe 25. ya mwezi wowote uone km kutakuwa na mafoleni makubwa kiasi hiki
Michuzi,
ReplyDeleteMbona umeibania ile habari kwenye guardian la juzi ya kuwa wabeba maboksi mwaka jana walituma $ 313 million . Tafadhali naomba uweke hii habari.
Jamani huu ni utumwa sasa!!foleni yote hiyooo...halafu unasema ziko kila mahala...jamani tafuteni utaratibu mwingine huu ni kama utumwa,kwanza mtu unaweza hata kukata tamaa kuweka hela bank ukifikiria hii adhabu..mdau norway
ReplyDeleteThis is not fair kwa bank customers. Foleni mpaka kwenye ATM's, bado mi ATM fees kibao on top of each transactions..Kuna tofauti gani baina ya ATM na kutumia teller ndani ya benki zaidi ya utofauti wa accessible hours?
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteNaona ATM za Bongo hazitoshi kaka. Maana kila siku foleni kwenye ATM kama nini, nafikiri hizi benki zinatakiwa kuongeza hizi ATM.
OMBI: Naomba picha ya karibu ya ATM machine. Nina ka kadi kangu kwa wabeba mabox huku, jamaa wananiambia kuwa kama ATM za Bongo hazina alama ya Interac au Plus basi nitaula wa chuya.
Mdau- Kwa wabeba Mabox
Duh nashangaa,mswahili kasimama foleni ya mstari!!!...manaake hapo kwetu ni kujiingiza na kuparamia bila nidhamu,na kweli hizo machine za fedha zimetustaarabisha kidogo...lakini pembeni yuko yakhe anayekutazama ili akupore!
ReplyDeleteWadua naomba kuuliza.Je ukiwa na visa card si unaweza kuchukua pesa kwenye ATM zote au kuna ATM maalum tu???
ReplyDeleteHii adha wanayo wateja wa NATIONWIDE UK.
ReplyDeletewala vumbi wasikudanganye mi nilikuwa dec bongo hata katikati ya mwezi mafoleni hivyo hivyo mara atm imeishiwa hela subirini waijaze hela, mara leo imekorofisha subirini fundi aje kwa asilimia kubwa line ipo mchana nzima kidogo usiku hakuna line.
ReplyDeleteyes visa unachukua benki yeyote ila mastercard,Interac au Plus etc inabidi uitafute exim bank ndo pekee inaccept hizo kadi ila inaweza kugoma with message "contact your institution" inabidi uwe na plan B kama utaenda bongo unategemea atm
Ama kweli bongo ni tambarrarrree. Vumbi kibao, Foleni ndefu, matope adi pembeni mwa ATM.... Kweli bongo ni tambarrarrre
ReplyDeleteWe anony wa 9.06pm, ukiwa na visa card unaweza kuchukua hela sehemu yoyote ile duniani ili mradi kuwe na nembo ya visa kwenye hiyo ATM
ReplyDeleteWe anony wa 11.17pm unaishi wapi UK? manake sijawahi kuona foleni kama hiyo except Northern Rock ilivyokuwa inasuasua last year.
ReplyDeletehadi ATM kuna foleni, ama kweli bongo! what a convenience! sasa hapo starehe ya ATM iko wapi? service bongo is very poor jamani. hivi sisi wabeba box hivi vitu ni kila kona jamaniiii....acha to ATM kuna vitu kama convenience stores, bongo kapa. mtu unaingia bafuni kuoga unagundua sabuni imebaki kichelemi hata kama ni usiku wa manane unakimbia chap chap store unachukua unachotaka, bongo hiyo inabidi usubiri hadi asubuhi....nyie bongo acheni tu
ReplyDeletetatizo hili si bongo tu, hata zenj lipo sana hasa kwa bank moja ya makab.....u, na baya zaidi unaweka kupanga mstari kwa muda na ikifika unaambiwa machine is temporarily out of order ama hanma hela. na inachukua muda watu wa bank kurekebisha. usijaribu kutegema kupata hela kutoka atm, zinaweza kukuadhirisha kwa kushindwa kupata hela kama ulivyotarajia.
ReplyDeleteConvenience store iko moja kwenye Gasoline station njia ya kwenda kwa Mwalimu Nyerere kabla hujafika kwenye kona ya kuingia kwa baba wa taifa.(Sijui kama bado ipo lakini) ilikuwa inanisefu kiaina usiku wa manane)
ReplyDeleteKT.
In Tanzania out of about 240 ATMs only 32 of them does not accept VISA card. Otherwise, with VISA you can access the rest. By the way POS nazo zipo, ila ni limited most of the big hotel, pharmacies wana accepy VISA TemboCard. Kwahiyo Hayo USD yaleteni tukuze uchumi wetu?!!!!
ReplyDeleteOnly Barclays Bank takes all the ATM cards, either visa, maestro,cirrus, mastercard and now they've open more branches in Dar. I used 2 work with them. Mdau T-dot
ReplyDeleteNI HIVII HIZO MACHINE ZIENDE SAMBAMBA NA WASOMI..WANAOFAHAMU KREDIT KARD KAUTAFIT/ FRAUD..VINGINEVYO ..WAHINDI, WACHINA NA WAKOREA WATAFILISI BENKI ZETU MUDA SIO MREFU...
ReplyDeletekuuliza si ujinga, sasa hao wapanga foleni ndefu hiyo wakifika hapo kwenye machine wanachukua kiasi gani lkn? maana isije ikawa ni katibia cha kupenda kupanga foleni tuu ukifika kwenye machine unachukua elfu kumi na kesho unarudi kwenye foleni unachukua elfukumi ili mradi tuu kila siku wewe uwepo kwenye foleni, ahahaha, chukueni pesa za kutosha wanandugu mpumzike na hiyo foleni maana tunaambiwa time is money.
ReplyDelete