Home
Unlabelled
rav 4 za celtel zaanza kumwagwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa bro Michuzi,ulivyoweka hii wadhamini wako TiGO hawataleta noma?
ReplyDeleteAnapiga ndogo ndogo huyu Michu... Ha ha ha ha ha haaaaa....
ReplyDeleteHuyo dada Beatrice tunasikia ni moto - wadau mna data?
ReplyDeleteHongera zake mshindi. Tigo wanajitahidi lakini ingekuwa vizuri zaidi siku moja wakatoa zawadi ya nyumba kwenye bahati nasibu yao, sio magari tu peke yake
ReplyDeleteWamekustukia wadau aha ha ha ha tigo hamna hizo tungesikia siku moja nawe unalo,ha ha ha
ReplyDeleteHuyo Dada ameolewa juzi juzi, hana jazba kihivyo
ReplyDeleteJamani B'trice!!!
ReplyDeleteMsalato juuu mwanangu. Mamaake endelea kukutuwakilisha....lol!
Wa ajabu huyo msichana acha tu. Weird character. Kwani kuolewa ndio nini.
ReplyDeleteJAMANI HUYO DADA NI BEATRICE SINGANO, TULIKUWA NAYE KIFUNGILO NA NI MTOTO MZURI KWA SURA HATA ROHO YAKE,,, CONGRATULATIONS DARLING BEATRICE YOU HAVE MADE IT TO THE TOP!! LOTS OF LOVE FROM USA. KEEP UP THE GOOD WORK. I REMEMBER YOU, HARRIET STANLEY, BRENDA LEMA, JAMILA AHMED, MOZA SALUM, ROSE NG'ANDILE AND MANY MORE... LOTS OF LOVE.
ReplyDeletemmmmhh!Kaka michuzi mbona blog hii imeanza kujaa watu wenye majungu?????Aiseee watu hawapendi maendeleo ya watu...sasa huyo beatrice ana weird character gani?????
ReplyDelete