Mr and Miss University 2008 Mussa George na Tunu Yongolo wakiwa na mshindi wa mwaka 2001 ya mashindano hayo masouzi nyirenda (sio matokeo chuma, kunradhi) na jokate mwegelo baada ya ushindi wao wikiendi hii ukumbi wa nkrumah holi chuo kikuu cha univesity of dar. mashindano hayo yamedhaminiwa na tigo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michuzi nafikiri ur title is very ambigous. Kama walioandaa ndo wamjiita hivyo naona km wamechemsha.Kusema Mr and Miss University halafu maelezo ni Mr & Miss UDSM,haina maana. Issue ni kwamba Tanzania kwani UDSM ndo varsity yenyewe? Hivyo vyuo vingine na vyenyewe vikiita hivyo? Ukisema Mr & Miss University/ties naona km ni mshindi wa vyuo vyote Bongo. Inabidi tuwpime kiwango cha ufikiri wao hao waandaji.

    ReplyDelete
  2. mh, fine girl. petite, kissable.

    ReplyDelete
  3. jamani michuzi labda kama mie huwa sielewi au sijui kidogo mambo ya kusoma yananipiga chenga hivi yule dada anaitwa YOKATE au JOKATE? naomba ufafanuzi. well hongera kwa washindi wetu!

    ReplyDelete
  4. imekaa vipi michu,
    -CHUO KIKUU CHA UNIVERSITY OF DAR
    -BARABARA YA MICHUZI ROAD
    -UKUMBI WA ISSA HALL
    -JENGO LA KITEGAUCHUMI BUILDING
    -MAFISADI WA SERIKALI YA TANZANIA GORVERNMENT

    Usichanganye mambo;Nina wasiwasi na hiyo ze T-Shirt inachangia wewe kuchanganya madawa

    ReplyDelete
  5. Mr and Mrs University? Mambo haya! Wamefungishwa ndoa?

    ReplyDelete
  6. Haya whats Mr. and Mrs? Maybe I am slow but damn that title don come thru sounds sooo ackward...anywho they look good bt for da boy white cream tie n red shirt? THAS A BIG NO...Like his smile tho

    ReplyDelete
  7. Michu huyo nyuma ya Miss University siyo Chuma ni Nyirenda tukerebishie kidogo. Halafu sikuhizi sijui unakuwaga na haraka (kama unaoga nje vile unaogopa kubambwa) unatuchemshiaga na kukoroga sentensi na habari Banange anakuzengua namna hiyo?

    ReplyDelete
  8. Mmmh sijui lakini from my view ...huyo jamaa is veeery "sweet" my dear tuffen up kidogo...mmh jamani..

    ReplyDelete
  9. dude,u luk lyk a big baby...nat gud n i knw ther r prettier girls there..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...