michuzi,
ingawa hatuvumi lakini na sie wadau wa newala (orijino, sio ya marekani) tupo. hapo ni bomani petu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Du NEWALA kumbe kukavu hivi,si ajabu hao wanaopita aliyechomoa Shati ni Mkuu wa wilaya na huyo mwingine ni Mkurugenzi wa wilaya...

    ReplyDelete
  2. Kaka Michu, yaani huko ndio home mzee. Nilikuwa huko X mas tu. Ila kazi tunayo wadau na sasa Mh. Mkuchika ambaye ni mbuge wa Newala amekuwa Waziri inabidi atukusanye wadau wa Newala tulisukume gurudumu la maendeleo na wavimba macho na waosha midomo wenye viriba vya roho waache hizo zaoooo!!

    ReplyDelete
  3. Hivi hiyo newala ya marekani ni ipi?naomba ufafanuzi.

    ReplyDelete
  4. Inno upo?

    ReplyDelete
  5. mdau, anonymous wa kwanza hapo juu naona haijuwi tz vizuri. mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa wilaya wa nchi hii hushushiwa milangoni kutoka kwenye shangingi a.k.a VX etc. Kinachouma ni pale mali zote pamoja na majengo katika ofisi husika havifikii thamani ya shangingi hata la mkubwa mmoja wa wilaya

    ReplyDelete
  6. Duuh kumbe newala kuna udongo mwekundu hivi kama kwao na mh.zitto kabwe..aiseee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...