Waziri Mkuu mh. Mizengo Pinda na mama Pinda wakifurahia pamoja na majirani zao walipokuwa katika kijiji cha kibaoni alikozaliwa wilayani Mpanda leo, katika ziara yake ya siku nane mkoani rukwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. DU kijijini kwao wote wanafanana ngumu kujua mwanamke ni nani mwanaume ni nani.sasa pinda maliza hizo ziara haraka uje uanze kazi muda wako wa uongozi utaisha kabla ujaanza kazi kutoa shukurani wa waswahili bwana.kweli kitesa kwa zamu wengine wanamaliza hela kusafiri nje ya nchi wengine wanamaliza mikoani eheee kicheko mie

    ReplyDelete
  2. We anony hapo juu acha tabia hiyo ya kutoa wenzako kasoro, huo ni ushamba na inaonesha waziwazi kuwa una mapungufu mengi sana. Mungu akubariki sana ili uweze kujitambua.

    ReplyDelete
  3. Duh hizo salamu ya kupigana vibao USONI inanikumbusha MOVIE YA (MR BONES...)

    ReplyDelete
  4. Hata ungekuwa wewe PM ukienda kijijini kwenu ka mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa kuwa PM lazima ufanyiwe Tambiko kidogo.Na pia ukaombe mizimu ya babu na bibi zako kijijini ikuongoze kwenye kazi nzito.

    Big up Pinda na mkeo Tunu.Mpo simple mno.Mungu awabariki sana.

    ReplyDelete
  5. Huyo Tunu sasa hivi mtamsahau, atapigwa sopu ile mbaya na shuka hilo ataliacha...mhhhh labda nimezungumza mapema sana, shuka ninafikiri ndiyo staili ya nyumbani siku hizi maana kila anayekuja utamuona na shuka begani.

    ReplyDelete
  6. Inawezekana huyu Pinda akawa 'tofauti', in the sense that labda yeye sio corrupt...lakini kwa maoni yangu anavuka mipaka anaposema kuwa wazazi wake wataendelae kuishi maisha duni...hata mimi ninaepata income ya sh.250,000 kwa mwezi najitahidi wazazi wale ubwabwa japo mara 1 kwa wiki,nimewawekea bati na sio majani tena, na kwa mantiki hiyo kupata kwangu ajira kumezaa matunda kwa wazazi wangu.Kwangu usemi huo nimeuchukulia kwa pande mbili...aidha ni maneno ya jazba yasiyokuwa na ukweli au huyu jamaa ni katili...samahani kwa aliyekwazika.

    ReplyDelete
  7. Mimi kinachonikera ni pale kiongozi wa nchi anapotembelea mahali tu, basi wananchi wanaifanya ziara kama ya CCM bila yakujua kwamba Waziri mkuu ni kwa watanzania wote[serikali], mambo yakujipendekeza na nembo na nguo za chama sio mahali pake kwa kumpokea kiongozi wa serikali.
    Ingekua anatembelea maskani ya CCM au matawi ya CCM basi wanachama na wavae hata mapakacha yao ya CCM.
    Hivi watanzania tutatofautisha lini serikali na vyama vya siasa?

    ReplyDelete
  8. hivi hii fasheni ya kuandaa misa, mapokezi na tafrija imetokea wapi? pinda anapokelewa kila kona, mwakyembe nae anafanyiwa maandamano...hizi sherehe za wana-ccm zitaisha lini?

    ReplyDelete
  9. Anon: March 4: 10.14 am. USIJIPE MOYO HAYO MASHUKA YA BEGANI NDIO FASHION YENYEWE! SI UNAONA MAMA WA TAIFA ANA KILA RANGI.!!!!AHHH KWELI TUNU NITUNIE ANHITAJI KISOAP SOAP!

    ReplyDelete
  10. RUDISHA FEDHA ZA BOT

    Timu imewaomba wananchi wanaoelewa chochote kuhusiana na sakata hilo, waendelee kutoa taarifa moja kwa moja, kwa kupitia namba maalum ilizotoa ambazo ni 0713 223 362, 0784 213 928 na 0784 785 722.

    Miongoni mwa wanaounda timu hiyo iliyotokana na ubadhirifu ulioainishwa na Mkaguzi aliyekodioshwa na Serikali, Ernst & Young ni Kamanda wa Jeshi la Polisi nchini, Said Mwema, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. Johnson Mwanyika, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, PCCB

    ReplyDelete
  11. Jamani mimi am not a fan wa kuvaa vitenge lakini nafikiri kila mtu ana haki ya kuvaa kile anachohisi kimempendeza na kinachozingatia occasion.Hii style ya kuweka matenge begani bongo niliiona kwa akina mama and I don think it should be an issue at all.Sasa mnataka wavae peddle pusher na vi-top ndo muone wapo up to date au?Kama wameamua kuweka na manjonjo ya kingine begani hiyo inawahusu nini?Mimi naona asiyependa hilo tenge na asivae full stop.

    ReplyDelete
  12. Akishtuka siku zimeisa alichokifanya cha mahana ni kupokelewa na kupongezwa.

    ReplyDelete
  13. ANONY WA Tuesday, March 4, 2008 12:14:00 PM EAT
    BIG UP FOR YOUR COMMENT
    FUNNY THOUGH eti jamaa ni katili LOL
    dizain kweli we hucheki anavyopiga chabo kwanza akicheka bodyguard lazima atetemeke.LOL
    viongozi wa siku hizi bwana!DUH
    umemcheki J McCain LOL

    ReplyDelete
  14. michuzi hebu waambie naona mitandio nayo, inaingia fashion shuka begani imepitwa na wakati, mitandio nayo jamani, asante kaka michuzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...