bosi wa masoko wa celtel tanzania constatine magavilla (katikati) akiongea na mshindi wa gari la mwezi huu RAV4 jipya aliloshinda katika promosheni ya 2 ya kampuni hiyo ambayo mwaka huu imetoa RAV4 kumi na moja kushindaniwa. shoto ni afisa uhusiano wa celtel beatrice singano mallya na kulia ni afisa wa michezo ya bahati nasibu sadiq elimsu. mkazi wa dar michael joel (anayepigiwa simu) ndiye aliyeshinda zawadi hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Sasa bro Michuzi,ulivyoweka hii wadhamini wako TiGO hawataleta noma?

    ReplyDelete
  2. Anapiga ndogo ndogo huyu Michu... Ha ha ha ha ha haaaaa....

    ReplyDelete
  3. Huyo dada Beatrice tunasikia ni moto - wadau mna data?

    ReplyDelete
  4. Hongera zake mshindi. Tigo wanajitahidi lakini ingekuwa vizuri zaidi siku moja wakatoa zawadi ya nyumba kwenye bahati nasibu yao, sio magari tu peke yake

    ReplyDelete
  5. Wamekustukia wadau aha ha ha ha tigo hamna hizo tungesikia siku moja nawe unalo,ha ha ha

    ReplyDelete
  6. Huyo Dada ameolewa juzi juzi, hana jazba kihivyo

    ReplyDelete
  7. Jamani B'trice!!!
    Msalato juuu mwanangu. Mamaake endelea kukutuwakilisha....lol!

    ReplyDelete
  8. Wa ajabu huyo msichana acha tu. Weird character. Kwani kuolewa ndio nini.

    ReplyDelete
  9. JAMANI HUYO DADA NI BEATRICE SINGANO, TULIKUWA NAYE KIFUNGILO NA NI MTOTO MZURI KWA SURA HATA ROHO YAKE,,, CONGRATULATIONS DARLING BEATRICE YOU HAVE MADE IT TO THE TOP!! LOTS OF LOVE FROM USA. KEEP UP THE GOOD WORK. I REMEMBER YOU, HARRIET STANLEY, BRENDA LEMA, JAMILA AHMED, MOZA SALUM, ROSE NG'ANDILE AND MANY MORE... LOTS OF LOVE.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2008

    mmmmhh!Kaka michuzi mbona blog hii imeanza kujaa watu wenye majungu?????Aiseee watu hawapendi maendeleo ya watu...sasa huyo beatrice ana weird character gani?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...