makamu wa rais dk. ali mohamed shein, mai waifu wake pamoja na ujumbe alioongozana nao kwenye msafara wa ziara ya kikazi nchini india wakipozi mbele ya jengo la taj mahal ambalo ni moja ya maajabu saba ya ya dunia. lilijengwa mwaka 1631 hadi mwaka 1653 na mfalme wa mughan shah jahan kwenye kingo za mto yamuna, huko agra. habari zake zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Zamani nilikua mpenzi wa filamu za kihindi nakumbuka mchezo unaitwa GANGA JAMUNA, hivi kuna mto mwingine unaitwa YAMUNA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...