Home
Unlabelled
tido enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pia nawaona Abdallah 'king'Kibaden na Abdulrahman 'Muchacho'...Simba ndio ilinguruma wakati mababe ya jangwani yaliroroma!!!
ReplyDeleteMzee Abdalla Kibaden anafanya nini siku hizi???...je mnaweza kunisaidia kunipatia kitabu kinachoitwa Yanga na Simba lenye picha ya Sunday Manara na Abdallah Kibaden lililoandikwa na Bwana Haji Konde?Ni kitabu pekee chenye historia ya kandanda nchini enzi hizo...wasalaam..
ReplyDeleteNa Radio yetu ya Taifa inayokoroma nayo inasikilizwa sana kuliko hizi za FM siku hizi.Big up Tido.
ReplyDelete